Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Watoto wa ki Persia watamu
Ina nikumbusha Chuo ndani ya Middlesex, Greater London, nilimpata mmoja tukawa tunasiadiana kusuma maisha ya chuo, hawana noma wala nini...
Ni mnato nje ndani hata usimamie ukucha bado wananata....
Nilitaka kufika kabisa, lakini akaniambia hautauweza maisha na familia ya upande wake ikiwa siku ya kutembelea huko Iran, ni bora tulane tu, tukimaliza kila mtu kivyake, sababu anampenda sana mama yake japo mama asingejali lakini angesuswa na ndugu zake huko Iran..
Kwa hiyo ikawa ni kufanya nae staili zote za ujanani.....
 
Mojawapo ya mambo yanayonifanya kuendelea kusimama na Israel ni hili la uhuru, Israel ndio nchi pekee ya Mashariki ya kati unavaa vyovyote, unapata kitimoto, unakunywa chochote na unaweza kuabudu chochote bila kusumbuliwa au hofu.
Mbona ushoga umeukimbia... Wakati ndio mambo Yao mpaka jeshini.
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Masikini watamuua!
 
Mojawapo ya mambo yanayonifanya kuendelea kusimama na Israel ni hili la uhuru, Israel ndio nchi pekee ya Mashariki ya kati unavaa vyovyote, unapata kitimoto, unakunywa chochote na unaweza kuabudu chochote bila kusumbuliwa au hofu.
Kwa unafiki wakristo hamjambo, uhuru nikuvaa hivyo, lkn wengine hasa huko ulaya wanakataza kuvaa hijabu au nicab nako hampigi kelele kua uhuru wawatu unaminywa. Lkn ishaandikwa "Hamtokuja kuwapenda mpaka wafanane kama nyie".
 
Alikuwa amevaa hijabu akakamatwa na kusumbuliwa na polisi wa maadili kwamba hajavaa hijabu vizuri ndipo akakasirika na akaamua kuitupa kabisa hiyo hijabu, hana matatizo yoyote ya akili.
Ni Unafiq tu, tazama Qatar wakati wa World Cup na lile biti walilopiga
 
Attachments

  • images - 2024-11-04T060951.316.jpeg
    images - 2024-11-04T060951.316.jpeg
    10.9 KB · Views: 2
Kwa unafiki wakristo hamjambo, uhuru nikuvaa hivyo, lkn wengine hasa huko ulaya wanakataza kuvaa hijabu au nicab nako hampigi kelele kua uhuru wawatu unaminywa. Lkn ishaandikwa "Hamtokuja kuwapenda mpaka wafanane kama nyie".
Tazama picha ya kwanza na ya pili 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • images - 2024-11-04T060927.541.jpeg
    images - 2024-11-04T060927.541.jpeg
    54.7 KB · Views: 2
  • images - 2024-11-04T060951.316.jpeg
    images - 2024-11-04T060951.316.jpeg
    10.9 KB · Views: 2
Alikuwa amevaa hijabu akakamatwa na kusumbuliwa na polisi wa maadili kwamba hajavaa hijabu vizuri ndipo akakasirika na akaamua kuitupa kabisa hiyo hijabu, hana matatizo yoyote ya akili.
Wewe hujawahi kufika Iran nafikiri!

Iran wapo wanawake wanaotembea vichwa wazi na hawabughudhiwi!
 
Back
Top Bottom