Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Hapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uchi
Hivi wewe mamako akivaa hivyo mtaani kwako wewe kama unakili timamu utajisikiaje, unajua sometimes akili itumike tu ambayo ni common sense hio wala haihusiani na dini hata bila dini sio ngumu kuelewa kwamba hawa watu wa magharibi wao ni washenzi kukuta bibi mtu mzima kavaa chupi mbele ya wajukuu kawaida kabisa wala hapo bila ata dini ni haifai kuvaa uchi mbele ya watu
 
Tuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru
Afrika nguo na utamaduni WA kuvaa tumeletewa majuzi Tu, kabla ya hapo tulitembea tukiwa tumevaa ngozi na magome ya miti sehemu kubwa ya MWILI ukiwa wazi na Mungu hakuwahi kukerwa na uvaani wetu!
 
Kitimoto/kosheli utapata wapi israel yenye wayahudi na waislam wengi?..hawali nguruwe hao
Duh
Hivi wewe mamako akivaa hivyo mtaani kwako wewe kama unakili timamu utajisikiaje, unajua sometimes akili itumike tu ambayo ni common sense hio wala haihusiani na dini hata bila dini sio ngumu kuelewa kwamba hawa watu wa magharibi wao ni washenzi kukuta bibi mtu mzima kavaa chupi mbele ya wajukuu kawaida kabisa wala hapo bila ata dini ni haifai kuvaa uchi mbele ya watu
Hahaaaa vip ndugu yangu
 
Unaweza hata kutembea uchi kabisa na hakuna wa kukumata,
Labda hujakaa hizo nchi , nchi nyingi Za Ulaya zina sheria hata ukikaa nyumbani kwako uchi na chupi tu Kama mtu akikuona nje anawezä kuitwa polisi na ukashitakiwa. Hivyo tunavyofikiri sivyo kabisa sheria zilivyo. Kuna mahali unaweza ikawa na chupi lakini sio utembee mitaani na chupi . Unaweza kufungwa au kupelekwa hospitali Za vichaa
 
Tuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru
Tamaduni zipi hizi nguo tumeletewa juzi tu hapa Afrika watu walikua wanatembea uchi nafikiri ujui utamaduni wa mwafrika ni upi? Nenda Eswatin hapo watu wanatembea uchi huo ndo utamaduni wa mwafrika
 
Labda hujakaa hizo nchi , nchi nyingi Za Ulaya zina sheria hata ukikaa nyumbani kwako uchi na chupi tu Kama mtu akikuona nje anawezä kuitwa polisi na ukashitakiwa. Hivyo tunavyofikiri sivyo kabisa sheria zilivyo. Kuna mahali unaweza ikawa na chupi lakini sio utembee mitaani na chupi . Unaweza kufungwa au kupelekwa hospitali Za vichaa
Huyo mwanamke hawezi kushitakiwa mahali popote Ulaya au Marekani, jikite kwenye mada, haihusiani na kutembea uchi.
 
Tamaduni zipi hizi nguo tumeletewa juzi tu hapa Afrika watu walikua wanatembea uchi nafikiri ujui utamaduni wa mwafrika ni upi? Nenda Eswatin hapo watu wanatembea uchi huo ndo utamaduni wa mwafrika
Watu wengi wanaolilia "tamaduni zetu" hata hizo tamaduni zao wenyewe huwa hawajawahi kuzijua vizuri, huwa naowaona vilaza sana wanaoimba mambo kama Kasuku tu. Mtu kavaa kama mwarabu au mzungu anasema tamaduni zetu za mavazi!🤣
 
Huyo mwanamke hawezi kushitakiwa mahali popote Ulaya au Marekani, jikite kwenye mada, haihusiani na kutembea uchi.
Hapo kwan yuko marekani ? Dada ako na Mama ako akivaa hivo inatosha sio unataka kila mwanamke atembee uchi
 
Dada ako na Mama ako akivaa hivo inatosha sio unataka kila mwanamke atembee uchi
Kwanza hatembei uchi na pia sio mimi nimetaka, yeye ndio ametaka kuvaa alivyovyaa.
 
Back
Top Bottom