Mwanamke mmoja wa kiafrika ashangaa Waziri kutembea kwa miguu kulelekea kazini

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
1,955
Reaction score
2,465
Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora

Politic ata work. Kila taifa la Ulaya, America au Asia linatafuta njia ya kuboresha uhusiano wake na Africa kwa kupitia njia mbali mbali kama hizi.

Huyo dada wa kiafrica kapangwa mahususi kwa ajili ya kazi hiyo.

Haina tofauti na kumkuta Lowasa, Lisu au Majaliwa kapanda daladala wakati wa kampeni za uchaguzi.
 
Sio kapangwa wenzetu Uongozi kwao ni kitu cha kawaida huwezi kufananisha Kiongozi wa Ulaya na Afrika wanavyojichukulia na tunavyowachukulia kwanza viongozi wa kiafrika wakishaingia madarakani wanawaona wananchi kama wajinga wenyewe ndio wenye akili sana kuliko raia yoyote

Kuna video nyingine ya aliekuwa waziri wa Uingeleza
Je nayo wazungu walipangwa kwa nia ipi labda na kwa nini wapangwe ?
 
Attachments

  • Mr. Boris Johnson, UK Prime Minister Shopping On Cycle Like Common Man..mp4
    5.8 MB
Politic ata work. Kila taifa la Ulaya, America au Asia linatafuta njia ya kuboresha uhusiano wake na Africa kwa kupitia njia mbali mbali kama hizi.

Huyo dada wa kiafrica kapangwa mahususi kwa ajili ya kazi hiyo.

Haina tofauti na kumkuta Lowasa, Lisu au Majaliwa kapanda daladala wakati wa kampeni za uchaguzi.
Unawaabudu wazungu

Hiyo mambo ya kawaida hasa scandinavia hakuna siasa hakuna ninj

Btw kwann watake kuwaImpress waafrika?
 
Kuna mzungu mmoja huwa anakuja ofisn kila mwaka sasa alishangaa kuona Tanzania kila kona ving’ora afu magari ya gharama. Akasema Tanzania sio masikini matumiz yenu mabovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Kiongozi anatoka mwenge anaenda Makumbusho mtasimamidhwa masaa mawili kwenye foleni
 
Sisi tumezidisha kuchezea fedha za kodi magari na misafara ving'ora kufunga mabarabara daah!

Ninaweza kusema Mwafrika hana Uzalendo.
Huwa inakela sana kiongozi kabla ajatoka kwake labda yupo anajindaa nyie huku mnasimamishwa foleni
Viongozi wa kiafrika wametugeuza tuwaabudu
 
Back
Top Bottom