Wafrica kama wewe huwa mnaingizwa mkenge kizembe sana.
Mnashindwa kutofautisha siasa na maisha ya kawaida.
Siasa ina njia nyingi za kulaghai watu. Hata raisi wa nchi anaweza kuigiza analala kwenye mkeka, huku kiuhalisia hajawahi hata kukalia mkeka achilia mbali kuulalia.
Ila hayo wanayoyafanya wazungu yakifanywa na kina Kikwete kwenda kununua samaki feri ungesema muuzaji sio raia wa kawaida ni mwanausalama, au ile ya hayati Magufuli kupitia kijiweni kunywa kahawa wadau wakaanza kupinga kuwa muuza kahawa alipangwa ili kukamilisha tukio nk.
Kwamba mzungu ni malaika ambae hawezi kudanganya au kuhadaa umma.