Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Beautiful depends on eyes of the beholder usikalili vitu kwan mzungu ndo nani hasa mm napenda sana wanawake vibonge yani nikawaona tu mkuyenge unakaa mguu sawa
Sema beauty not beautiful kwa jinsi hilo neno lilivyotumika kwenye sentensi hii. Halafu usikalili= usikariri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yes exactly ndicho ninachoongelea, kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange. Mie natamani hata ningekuwa flat kila kitu yaani, sie wengine hatuishi kwa ajili ya kuwavutia watu.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Rushwa + Bia
Ila kitambi kwa mwanaume sio ishu sana japo mimi binafsi sikipendi.
Kitambi sumu sana kwa mwanaume na ni uzembe mkubwa sana. Ila kwa kina mama kuna mambo mengine nje ya uzembe, mfano dawa za family planning, na hata hormones za uzazi zinawabadilisha sana bila kupenda. Kwa hiyo mtoa mada labda azungumzie wasichana, siyo wanawake!!!
 
Yaani wewe mtu wewe!! Eti labda ''hukutane'' au eti ''huno''!!! Hivi watu wa namna hii huwa kuna connection kati ya brain, mdomo, macho na vidole wakati anaandika au wakati anaongea?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yes exactly ndicho ninachoongelea, kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange. Mie natamani hata ningekuwa flat kila kitu yaani, sie wengine hatuishi kwa ajili ya kuwavutia watu.
Haha eti flat Kila kitu
 
Ahahaha, wewe kweli ni baharia wa nchi kavu. Utaua njaa watoto wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mtazamo wako mkuu usi apply kwa wanaume wote. Mbona wapo wanaowapenda wanene?

Kila mmoja ana chaguo lake acha tunenepe usipotupenda wewe atatupenda mwingine
 
Ahahaha, wewe kweli ni baharia wa nchi kavu. Utaua njaa watoto wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitake radhi mimi ni baharia wa baharini. Mtu hatonyimwa chakula ila anachokula lazima kiyeyushwe chote.

Uwezi kunywa chai,chakula cha mchana na jioni kisha uishie kuchat Instagram,kucheki Series na kupiga story za wasanii hayo ni masikhara.

Inabidi uishi maisha yenye mfumo wa kukimbiza digestion, mwisho wa siku mnakuwa na miili sare Kama wasomali.
 
Yaani wewe mtu wewe!! Eti labda ''hukutane'' au eti ''huno''!!! Hivi watu wa namna hii huwa kuna connection kati ya brain, mdomo, macho na vidole wakati anaandika au wakati anaongea?
Ticha unaniziba sioni mbele sogea kwa nyuma kidogo

Unaonaje ukifungua tuisheni msimu huu wa corona ukakamatia fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…