Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂
[emoji23][emoji23]
Sema beauty not beautiful kwa jinsi hilo neno lilivyotumika kwenye sentensi hii. Halafu usikalili= usikaririBeautiful depends on eyes of the beholder usikalili vitu kwan mzungu ndo nani hasa mm napenda sana wanawake vibonge yani nikawaona tu mkuyenge unakaa mguu sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yes exactly ndicho ninachoongelea, kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange. Mie natamani hata ningekuwa flat kila kitu yaani, sie wengine hatuishi kwa ajili ya kuwavutia watu.Ziwa furushi....zaidi ya pale hapana kwa kweli [emoji3][emoji3]
Au kama alivyo Wema sahivi.. Aah vimiguu kama miwa.
Unene siupendi hata robo...bora mwili wa wastani.
Ila unene wa shapeless, tumbo tumbo, kono kono, kiuno hakijulikani kimeanzia wapi, tako lipo lipo tu, ziwa limedondoka mpaka bra inagoma kukusupport me hapana bora niwe kama Mange tu
Kitambi sumu sana kwa mwanaume na ni uzembe mkubwa sana. Ila kwa kina mama kuna mambo mengine nje ya uzembe, mfano dawa za family planning, na hata hormones za uzazi zinawabadilisha sana bila kupenda. Kwa hiyo mtoa mada labda azungumzie wasichana, siyo wanawake!!!😀 😀 😀 😀 😀
Rushwa + Bia
Ila kitambi kwa mwanaume sio ishu sana japo mimi binafsi sikipendi.
Yaani wewe mtu wewe!! Eti labda ''hukutane'' au eti ''huno''!!! Hivi watu wa namna hii huwa kuna connection kati ya brain, mdomo, macho na vidole wakati anaandika au wakati anaongea?Hivi tukibet hapa kati ya mwanamke mnene na vimbaumbau nani watashinda kwa kupendwa? Mwanamke mnene anapendwa na wanavutia labda hukutane na yaliyo na ulemavu wa unene! Tunapoongelea mwanamke mnene tunaongelea Chura, huno, paja, guu ndo chakula ya muzee! Vimbaumbau utakula wapi sasa??
Nipo hapa vingunguti kwa mnyamani.Nije wapi...Seema unapopatikana hata Kama Italy nakuja siogopi corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha eti flat Kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yes exactly ndicho ninachoongelea, kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange. Mie natamani hata ningekuwa flat kila kitu yaani, sie wengine hatuishi kwa ajili ya kuwavutia watu.
Laiti angejua kuwa una chura, angekaa kimyaSiweki tena dada maana nkiweka tangazo anasbo ananinanga ananiambia sijaolewa sababu sina chura huwa namsomaga halafu najikutaaa nacheka sana nasema ungejuwa.[emoji12]
Ahahaha, wewe kweli ni baharia wa nchi kavu. Utaua njaa watoto wa watuMfumo wa maisha na ulaji mbovu ndio unapelekea watu kunenepa kupita kiasi.
Kwangu mwanamke awe mnene au mwembamba lazima mwisho wa siku atabaki mwembamba huo muda wa kunenepa hatapata wapi? Vyakula ni kutoka baharini na shamba,kazi za mikono na libeneke kila siku.
Huu ni mtazamo wako mkuu usi apply kwa wanaume wote. Mbona wapo wanaowapenda wanene?Ushauri tu kwa dada zangu, sasa ndo nimeelewa kwanini wazungu wana criteria za mwanamke mzuri aweje.
Mwanamke mwembamba kama mamiss wale akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisa.
Mwanamke ukiwa mnene unakata stimu, ushauri huu uzingatiwe na dada zetu. Yaani stimu znakwisha kabisa hata ujirembe vipi, hata ujisexishe vipi, mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wiki tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawake wao sasa ni vibonge wanaishije, mimi sidechick tu ananipa kero.
Mkuu nitake radhi mimi ni baharia wa baharini. Mtu hatonyimwa chakula ila anachokula lazima kiyeyushwe chote.Ahahaha, wewe kweli ni baharia wa nchi kavu. Utaua njaa watoto wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ticha unaniziba sioni mbele sogea kwa nyuma kidogoYaani wewe mtu wewe!! Eti labda ''hukutane'' au eti ''huno''!!! Hivi watu wa namna hii huwa kuna connection kati ya brain, mdomo, macho na vidole wakati anaandika au wakati anaongea?
Kwahyo sisi wanene tuende wapi ss
Nipokeee
Sure, wilk be. A wasteNapenda mwanamke mnene... Akiwa mwembamba, aniahidi kama atanenepa.
Sijawahi kua na mahusiano namsichana mwembamba wala kutongoza.