Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajibiwa swali?Nitamuapproach vipi mke wangu apunguze unene?
Kikubwa tutoe kitambi tu..kitambi hakimpendezi mtu jamani.Hahaha kuna muda mtu unafurahia unene wako unajiona ni full package
Shida inakuja kwa walimwengu jaman..
Jitahidi tutoe kitambi tu
Unaweza onra wivu mtu uliemzidiNi Wivu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hhah umenikumbusha ex wangu alikua ananiimbia huo wimbo nikifakamia vyakula. Good memories. Wimbo wa Uno yeye alikua anaimba "tumbo" [emoji23] everybody say tumbo [emoji23][emoji23]
Sent From Galaxy S9
Word
Hata picha yake ya mdomo bado ipo maktaba. Unajua nyie akinamama ni vigumu kukubali mapungufu yenu.Hujasahau tu
Tutakaribia
Patamu hapo, ukiingia vibaya utaona vita yake. [emoji28][emoji28][emoji28]
Ila anasura private
Hahahahaha swadaktaaAna sura ya kushindia au sio [emoji1493][emoji3603][emoji1493][emoji3603][emoji1493][emoji3603]
Nije wapi...Seema unapopatikana hata Kama Italy nakuja siogopi coronaDuuh...uje nikufanyishe mazoezi..
Yule ni mwembamba sanaMange sikushauri...sio kwa kukomaa kule
Ok
Umeona eenh, tupo pamoja.