Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mfumo wa maisha na ulaji mbovu ndio unapelekea watu kunenepa kupita kiasi.

Kwangu mwanamke awe mnene au mwembamba lazima mwisho wa siku atabaki mwembamba huo muda wa kunenepa hatapata wapi? Vyakula ni kutoka baharini na shamba,kazi za mikono na libeneke kila siku.
 
Wewe:"....... unapoelekea sasa hivi watasema unatembea na kibenten"

Yeye:kwa nini?

Wewe: "Unakuwa mnene mno utaonekana mzee kuliko mimi wakati wewe rika la mdogo wangu wa 2"

Yeye: Umenifujaaa sasa hivi hunitaki tena unaanza sababu. Kamuoe huyo mdogo wako wa pili. Mhxyxhxiiixii!!
Patamu hapo, ukiingia vibaya utaona vita yake. [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom