Mwanamke mnyenyekevu ndiye chaguo bora kwa mwanaume yoyote

Kwahyo ungependa kushauri Nini?
 
Hapa ndipo wanaume tunapopuyanga!!
 
Smart thread.... wanawake wameanza kujitambua cha msingi waache dharau wawe humble.
 

Word
 
Mnakuwaga na akili sana kabla ya ndoa ila mkishaolewa tuu na kupata kile kicheti basi akili zote fyatuuu
 

So sad kuwa wengi kiburi, ujuaji ndio vimekuwa their way of life.
 
Ngoja wenyewe wanywe chai kwanza uone watakavyokushukia kama Mwewe...
Sidhani. Kila mwanamke anatamani awe na tabia njema ila tu wako possessed na mapepo ndio maana wanakuwa na tabia za kishetani
 
Jemima huyu huyu leo mnyenyekevu hahahaaa hongera kwa kuokoka
 
Mnakuwaga na akili sana kabla ya ndoa ila mkishaolewa tuu na kupata kile kicheti basi akili zote fyatuuu
Kile cheti huwa kinawapa kiburi sana tena itokee amepata huko nje jamaa linamsugua na anaongwa vijihela ikitokea misunderstanding kidogo tu kati yenu utasikia kama umenichoka niambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…