Mwanamke mnyenyekevu ndiye chaguo bora kwa mwanaume yoyote

Mwanamke mnyenyekevu ndiye chaguo bora kwa mwanaume yoyote

Kuna wimbo wa Aaliyah na Treach A Girl Like you nikikukamata sikuachii
 
Labda kwa mwanaume anaejielewa anachotaka, utakua na unyenyekevu mwenzio kumbe anadiscussion na halmashauri yake ya kichwa kwamba kweli mnyenyekevu ila huna tako, mara hipsi, sijui ushenzi gani mwingine huko.

Kuna wengine hata unyenyekee vipi bado atakuona ndezi tu na utaachwa ataenda hata asikonyenyekewa.
Hata ukikosa takroo, kwetu cc takroo ni bidhaa kwa ajili ya starehe. Mwanaume anayetaka ndoa yake idumu kamwe hawezioa mwenye takroo amira
 
Labda kwa mwanaume anaejielewa anachotaka, utakua na unyenyekevu mwenzio kumbe anadiscussion na halmashauri yake ya kichwa kwamba kweli mnyenyekevu ila huna tako, mara hipsi, sijui ushenzi gani mwingine huko.

Kuna wengine hata unyenyekee vipi bado atakuona ndezi tu na utaachwa ataenda hata asikonyenyekewa.
I am sorry aunt najuwa umelizungumza hilo jmkwa machungu makubwa sana ila nakukumbusha kwamba pennye nia pananjia mamaangu jaribi zaidi mungu atakufunulia we mtegemee2 yeye pole pia GOD BLESS 👏👏👏👏👏
 
Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii.

Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa.

Unyenyekevu wa mama ni faida kwake binafsi, faida kwa baba na faida kwa watoto na familia nzima.

Mwanamke mnyenyekevu ndiye mwanamke mwenye hekima ya kuishi na mume.

Ni mwanaume gani ambaye ndoto yake ni kuwa na mwanamke, jeuri, kiburi na mkaidi? Mwanamke mwenye dharau, mdomo mchafu na asiye na heshima kwa mume?

Bila kuwa mnyenyekevu hamna hofu ya Mungu moyoni mwako
Mmeo anafaidi sana, asilimia kubwa kilichobaki ni kizazi cha feminists na ligi za ajabu.
 
Back
Top Bottom