Mwanamke mnyenyekevu ndiye chaguo bora kwa mwanaume yoyote

Ndio maana nakwambia inategemea,,,wanawake wangapi wanyenyekevu na watiifu kwa waume zao wanaishia kunyanyaswa Hadi kuletewa wanawake nyumbani?
Tatizo lenu feminist mnapinga kila kitu ndo maana mnazalishwa na kuachwa na hakuna wa kuwaoa.

Kati 100 wanawake wanyenyekevu wataachwa 2. Ila kati ya 100 wanawake wasio wanyenyekevu wataachwa 99.

Hapo mshindi ni nani?
 
Kwani kuolewa ndio kufika mbinguni?mkitaka na mbegu zenu tunyimeni kabisa!acha zako hizo
 
Screenshot_20230208-200816_WhatsApp.jpg
 
Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii.

Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa.

Unyenyekevu wa mama ni faida kwake binafsi, faida kwa baba na faida kwa watoto na familia nzima.

Mwanamke mnyenyekevu ndiye mwanamke mwenye hekima ya kuishi na mume.

Ni mwanaume gani ambaye ndoto yake ni kuwa na mwanamke, jeuri, kiburi na mkaidi? Mwanamke mwenye dharau, mdomo mchafu na asiye na heshima kwa mume?

Bila kuwa mnyenyekevu hamna hofu ya Mungu moyoni mwako
Sanamu lako liwekwe Nyerere square kando ya Nyerere
 
sijajua kama hawa feminists wa jf watakuelewa, kuna mangangali humu unasoma tu post zake unajua hili femist likiolewa litaenda kuharibu bora libaki kua single mother tu.
 
Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii.

Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa.

Unyenyekevu wa mama ni faida kwake binafsi, faida kwa baba na faida kwa watoto na familia nzima.

Mwanamke mnyenyekevu ndiye mwanamke mwenye hekima ya kuishi na mume.

Ni mwanaume gani ambaye ndoto yake ni kuwa na mwanamke, jeuri, kiburi na mkaidi? Mwanamke mwenye dharau, mdomo mchafu na asiye na heshima kwa mume?

Bila kuwa mnyenyekevu hamna hofu ya Mungu moyoni mwako

Dat ma wife mbaka sasa sijutii kabsa kumuoa mkewangu Asantee mungu kwa kunipa zawadi hii mwanamke mnyenyekevu mbaka mda mwingine ananifanya nijione nakosea sana na anaupendo na huruma ya ajabu
Mi nimtu mwenyew asira sana na asirazangu za karibu niko short temper sana na ananijua vizur mnoo ila mbaka leo sielew tabia ya hasira aliishia wap Juzi kunaishu ilitokea nikakuta documents zangu za office zime lowana na maji nilimind siokitoto nilimfata Alikuwa jikoni anapika chakula cha mchana nikafikia kumuwashia moto wahatar akaniomba msamaha (Nisameh Babaangu )
Nilikuwa na hasira sana sikumjibu chochote nikaondoka home nikatoka kwa bahat mbaya nilisahau kitu nikarud nikamkuta Kaingia chumbani analia nikatoka nikaondoka Sasa anacholiaga yeye sio kumuwashia moto yeye hakunakitu hakipendi kama kunikwaza na kuniona nimekasirika anachukia sana nakuanza kujilaumu mwenyew
Mi jion hasira zangu zishaisha muda wa krudi home nikapitia kumnunulia zawadi nikaingia dukani nikamchagulia viatu vizur na mkoba nikapitia na piza [emoji28] nikarudi navyo home kuombea msamah Daah alifurah huyoo balaa mbaka akajikuta analia [emoji28][emoji28] Daah tukayamaliza maisha yanakwenda ukweli nikwamba unyenyekevu ni siraha kubwa sana kwa mwanamke bhas
 
Labda kwa mwanaume anaejielewa anachotaka, utakua na unyenyekevu mwenzio kumbe anadiscussion na halmashauri yake ya kichwa kwamba kweli mnyenyekevu ila huna tako, mara hipsi, sijui ushenzi gani mwingine huko.

Kuna wengine hata unyenyekee vipi bado atakuona ndezi tu na utaachwa ataenda hata asikonyenyekewa.
Ni ushenzi kama hauna [emoji16]
 
Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii.

Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa.

Unyenyekevu wa mama ni faida kwake binafsi, faida kwa baba na faida kwa watoto na familia nzima.

Mwanamke mnyenyekevu ndiye mwanamke mwenye hekima ya kuishi na mume.

Ni mwanaume gani ambaye ndoto yake ni kuwa na mwanamke, jeuri, kiburi na mkaidi? Mwanamke mwenye dharau, mdomo mchafu na asiye na heshima kwa mume?

Bila kuwa mnyenyekevu hamna hofu ya Mungu moyoni mwako
.....nimepata wazo.... sijui nikuoe.....
 
Back
Top Bottom