Mwanamke mpole na mtulivu sana

Mwanamke mpole na mtulivu sana

Dah sijui nipoje ila kiufupi sijawahi vutiwa na wanawake wapole nawaona kama wajinga wajinga tu🤔🤔🤔
 
Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.

Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga. Nilimkuta na sifa zake zilezile.

Niliongea naye sana, na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku. Nilishangaa, mdada mzuri kama huyo kukosa mume. Kweli, hata mimi roho inaniuma sana.
Kwa hiyo umeamua kutufokea ama?
 
Ila wabongo sku izi tunafurahisha sana unaweza ingia tik tok mtu amekaa kwenye ka crow kake afu anafundisha watu jinsi ya kua matajiri wakat ukiangalia kwanzia sku ya kwanza ameanza post amekaa kwenye gar ad leo unaona post zake bado kaka kwa gar
Ajawai kukuonesha ofs yake wala nyumba yake wala ata hujawai ona kavaa nini chini surualu or pensi ila anakushauri jinsi ya kutajirika sasa km unajua mbinu za kutajirika si uwafundishe ndugu zako nao watajirike maana kwa uelewa wangu najua wabongo unaweza ukawa tajiri ila unandugu kibao maskini why asiwafundishe hao ndg zake anataka aje anifundishe mimi streja mtu baki jinsi ya kutajirika

Haihusiani na mada ila nmeamua sema tu sabu watu weng mnaboa na mnakela sana kufundisha watu maisha wakat hakuana formula ya maisha wala mafanikio
 
80% Kuna muda fulani ukifika na ukipitiliza binti hajaolewa ujue anashida/matatizo.

Misimamo hambayo hainamsingi inawaangusha.

Kingine ni wanauhakika na 'toy' kwa sasa. Hasa ukikuta ni binti ambaye anaki-kazi kinampatia vilaki kadhaa kwa mwezi, anauhakika wa Kuhemea vitu vya mwezi mzima. Lazima asahau kuchumbiwa.

Ninajirani yangu hapa (binti) miaka 32 😅, anajifungiaga ndani mpaka tunaanza kupata wasiwasi kama ameamka mzima?. Maana wiki inaweza kata yumo ndani na milango hafungui.
 
Back
Top Bottom