Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Sioni ajabu mwanamke kupigwa na mme/bwana ake (sio kipigo cha mbwa mwitu) ila kipigo tu cha kumshikisha adabu. Kupigwa kwa mwanamke huwa ni matokeo ya upumbavu, ujinga na hasa dharau zilizozidi dhidi ya mwanaume.

Wazazi wanapaswa kuwafundisha watoto wao wa kike namna ya kuishi na wanaume

Na watoto wa kiume pia waandaliwe mazingira ya kuishi na watoto wa kike hasa wale waliowazidi umri na kipato.
 
NAKUSHUKURU SANA, huo ndiyo utaratibu wangu na naomba niwashauri wanaume mliooa na mlio na mpango wa kuoa ishini na wake zenu kwa namna hiyo!
Acha kuishi na mke kwa kusikiliza equal gender. Maisha yanihangaishe hata anayenitegemea nae anihangaishe? Never ever, fan belt imo ndani na yeye ndo anaitunza. Alah inatakiwa ukimchekea mke ajihoji leo imekuwaje?
 
Ladies, these are our men.

Ongezeni juhudi za kujitegemea sababu Hawa mbwa mwitu ndo husband material tulopewa.

Ni Wauaji na wanyanyasaji.

Mfumo dume ni kuchukia wanawake lakini kupenda wanachopata Kwa wanawake (sex, beauty, children) na si Zaidi .
 
Eti kwanini haukuniambia unaumwa nipite mgahawani kula.
Hivi baadhi ya wanaume mna matatizo gani? Yaani mtu amekwambia anaumwa unawaza tu kula.
Kwa nini asingemuuliza kwanini haukuniambia nije nikupeleke hospital?

Wako sooo selfish! Matumbo Yao tu.

Wanapenda wanachokipata Kwa mwanamke lakini SI mwanamke mwenyewe kama binadamu. Kwao mwanamke Ni chombo.
 

Wazi afande.


Kipigo is a must
 

Babu yangu ametoka makabila yanayopiga sana wanawake ila yeye hakuwa na mkono wa kupiga alituambia ukiona mwanaume anapiga mwanamke jua hana akili kabisa. Mwanaume mwenye akili hata siku moja hatumii nguvu ili kuthibitisha kama yeye mwanaume bali ata tumia wisdom aliyopewa na Mungu kama kiongozi. Only fools ndio huwa wanapiga wanawake babu yetu alikuwa anawadharau sana wanaume wa hivyo.
 
Na mwanaume mpumbavu lama wewe apewe adhabu gani?
 
 
Acha urongo wewee....

Wa kuwa na Mke utakua wewe!??
 
Duhh...!!!
 
Duh kumbe hili ni popoma kiasi hiki??
 
Mmoja wa wapumbavu umepanic kwakuambiwa ukweli
 
Uende ukaliwe nje usingizie mfumo dume?we pia ni wakupigwa
 
Mimi ni mkurya, Nilikuwa najiuliza kwanini baba hampigi mama kama wengi wanavyotusema wakurya basi ndio nlivyokuwa mkubwa nikajua mama yangu sio mpumbavu maana anatelekeza majukumu yanayopaswa kutekelezwa na mwanamke na alimuheshimu sana baba,..Ila sipati picha hali ingekuwa vice versa nadhani kungekuwa na vilio sana pale nyumbani.

Namuunga mkono mtoa maada na ninawaona wanaume wanaomtetea shilole ni Maboya kabisa zumbu kuku, Hivi mke wako anatoa ujasiri wapi wa kulala nje ya nyumba, Mnayajua au ndio mshazoea maumivu ya mke wako kupigwa D*du usiku na jamaa mwengine Sio ishu mwanamke wako akikuchiti wakati wewe hujui kinachoendelea au unahisi tu kuna kitu kinaendelea bila ushahidi, Ila ni uzumbukuku kukubali eti mke wako alale nje na unajua kabisa kinachoendelea huo usiku.

Shilole ni mwanamke mpumbavu sana, Narudia tena Shilole ni mwanamke mpumbavu sana, nampongeza uchebe kwa kuwajibika kama mwanaume na kitu alichofanya ndicho ambacho sisi wakurya au ndugu zetu hapa wasukuma au watani zetu wahaya wangekifanya kwa ufupi haijalishi kabila endapo mwanaume anajitambua angefanya alichofanya uchebe....Shenz type yani mahari nikutolee na ujulikane wewe ni mke wangu alafu uanze kunilwtea vitimbi,,UTAPIGIKA TU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…