Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Hamna kitu... alafu una stress na huna pesa.
 
Stress ni mbaya sana hupelekea kichwa kuwaza upumbavu na uharibifu muda wote.
 
Sema kweli mwanamke hakui bila kumkata mabanzi wengi hawaelewi, ni wachache sana wanajielewa ili asipigwe.

Unakuta umetoka zako majukumu unafika hayupo, akiuliza anakuwa mkali na majibu ya shobo,
Ukimtia chemba kati kama uchebe unaonekana mmbaya, hawa viumbe dah
 
Tz mambo ya umbea tunapenda kweli kwa sasa embu tujadili mambo ya uchumi wa kati kidgo embu hili la uchebe tiliache lipite .. hahahahahah jokes tu wakuu
 
Kupiga sio sukuhisho hasa kwa mtu ambae hamjazaliwa na kukulia pamoja.
Mtu mliyekutana ukubwani, nikuongea nae, akigoma mkalie kimya ukimtenga,
Ikizidi muache aendelee na maisha yake.....
Eti jikalie kimya muache aende zake
Jiandae kuoa kila siku
 
Nmekupa Like Mkuu.



Hamna mwanaume wakukaa kumpiga mwanamke kama huyo mwanamke sio Mpumbavu.



Utaanzia wapi kuinua mkono wako kwa mwanamke mwema?...
 
Kumpiga anaye kujua usirini ni hatari sana pamoja na udhaifu. Kama haambiliki rudisha kwao, wazazi wake wampige sitaki kesi.
 
Kama wewe mwanaume unajiamini upo strong,kwa mwanamke wako.
Kwann upige mwanamke?
Dawa ni kuacha tafuta mwingine.
Mwanaume anayepiga mwanamke ni dhaifu sana,,
Tena muoga wa kuachwa..
 
Kama wewe mwanaume unajiamini upo strong,kwa mwanamke wako.
Kwann upige mwanamke?
Dawa ni kuacha tafuta mwingine.
Mwanaume anayepiga mwanamke ni dhaifu sana,,
Tena muoga wa kuachwa..
Utaacha wangapi mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani mtu umezaa nae kabisa anafanya upuuzi baada ya kutandika hata vibao vitatu akili imrudie unamuacha???
 
Kama wewe mwanaume unajiamini upo strong,kwa mwanamke wako.
Kwann upige mwanamke?
Dawa ni kuacha tafuta mwingine.
Mwanaume anayepiga mwanamke ni dhaifu sana,,
Tena muoga wa kuachwa..

Sawa, kama ungefikiri vyema pengine usingediriki kuandika haya.
 
Kwa mtu mwenye kujua maaana ya neno MPUMBAVU na MJINGA... hawezi kukubishia hata kidogo,na akibisha basi na yeye yumo KUNDI HILO mkuu ROBERT HERIEL
 
Utaacha wangapi mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani mtu umezaa nae kabisa anafanya upuuzi baada ya kutandika hata vibao vitatu akili imrudie unamuacha???
Hao ndo wale wanatukanwa na wake zao alaf wanainama kama makondoo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…