Mwanamke muhimu sana anakubadilisha ndani ya masaa 24

Mwanamke muhimu sana anakubadilisha ndani ya masaa 24

Tukiachana na suala la kuachana kwa muda na mzazi mwenzio, itoshe kusema wewe ni mchafu
 
Je sababu zifuatazo zinatosha kumuacha mke?
1: Kiburi
2: kuhama chumba, yani, halo na mume wake chumba wala kitanda kimoja, analala chumba Cha watoto, sababu, hawezi kulala chumbani na mume wake wakati mtoto wake wa miaka 6 analala peke yake
3: Hamsikilizi mume wake
4: Ana Gubu
5.Sio mwaminifu,yaanimchepukaji,,,nadhani hi ndo sababu kuliko zote
 
Kuna mtu apa atakuja atakuambia alimsikiliza mmachame wake akajikuta wamejenga kwa mke huko machame nshara😁😁
Mmarangu wangu,kiwanja kipo hadi leo kiboroloni.
Na hata kishika uchumba nilitoka nacho baru.
 
Back
Top Bottom