Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

eti na mwanamke akikojoa mwanaume unajuaje? ....mana mimi wife wangu akikojoa huwa cjui. kw wanaojua plz ...mi kukojoa ni dk 0 kitendo ch kumuingiza 2 jamaa ikulu kosa!!
 
Nakubaliana na wewe. Girlfriend wa rafiki yangu alimshuku kuwa anatembea nje kwa kwa sababu jamaa alikuwa anachelewa kufika kileleni. Ilikuwa ni tabu tupu, ikabidi tuu waachane.
Huyo girlfriend wa rafiki yako
alivuka mipaka
 
Embu tupe zaidi hayo maujuzi,
hayo maziwa ni yale fresh au mgando?
Huo mdalasini nasikitika siujui, hiv naweza kuupata wapi?
Msaada mkuu.

Ni yale ya mtindi wakati mwingine haya ya kawaida. mdalasini ni yale magome ya miti yanatumika hata kwenye pilao ukienda kwenye viungo vya pilao watakupa unayasaga kwenye blender yanakuwa unga asali ni ya nyuki wadogo hii inafanya kazi nimeshuhudia mwenyewe
 

Duh umenichekesha sana nimejaribu kufikiria ni mimi ndio nafanyiwa hivyo yaani nimechekaje???? haya magulu maujuzi mengine hayo
 
kuna pressure point iko btn korodani na anus wakati wa kuanza tendo mwambie wife akubonyeze hapo na kidole(hata ukijaribu mwenyewe kujibonyeza utahisi kama kuna kashimo vile) i tell u utasikia raha ya ajabu lakini hutakojoa na utajisikia kama simba vile anayenguruma na utaweza kuendelea na tendo mda wote.

ikishindikana hii jaribu kuwa unaingiza na kutoa unapohisi kama utamaliza then unaiminya kwenye kichwa hiyo mashine then unairudisha tena hapa utajifunza kuzuia hisia zako kwakuwa unapoitoa nje unakuwa kama unatuliza mzuka hivi.

Tatizo lako linachangiwa pia na udhaifu wa PC muscles ambazo hukusaidia kuzuia kuwahi kufika kileleni-fanya zoezi la kegel ambalo ni kuzifanyisha mazoezi pc muscle ili ziwe active kwa mfano kwa kubana mkojo kila unapokuwa unataka kwenda haja ndogo ama kubwa uwe unaibana kwanza siyo kukurupuka na kutafuta choo kiko wapi unapokuwa unabana unatumia pc muscle na hili ni zoezi tosha la kuzifanya pc muscle ziwe active na zaidi uweze kuzitumia kuzuia kuwahi kufika kileleni.kwa aina dada ambao wanaweza kuzitumia pc muscle zao vyema wanapata raha ya kipekee wanapofika kileleni.
zaidi ya kubana mkojo unaweza kufanya zoezi hili hata ukiwa umekaa ofisini kwa kutuliza akili yako na kuzibana na kuziachia kwa interval ya 30 seconds na kuendelea hadi ukamaliza dk 4 hv,hata ukiwa kwenye foleni barabarani ndani ya gari unaweza fanya pia.at least kwa siku mara tatu -nne hv ufanye hata unapokuwa umejilaza itandani uwe unafanya.
msaada zaidi tafuta mtandaoni kuhusu zoezi hili.

kingine fanya mazoeezi kujiweka fit na pia jaribu kuchezea fikra zako unapokuwa kwenye mechi acha kuwazia tendo unalofanya na badala yake hamisha kidogo mawazo na fikra zako mahali pengine bila kuathiri tendo na hiki ndicho kinachowasaidia walevi wengi hasa wa konyagi/valeur/grants nk ila bia si saana maana inaleta usingizi ukinywa sana unaweza ukaishia kulala fofofo.unapokuwa umekunywa pombe kati ya hizi nilizozitaja akili huchangamka sana na kusababisha mtu asiwe anaconcentrate sehemu moja na ndiyo maana mtu anaweza akasimama dk 30-45 bila kukojoa hadi kubadili condoms hata mara tatu na wengine kuzipasua.

angalizo inategemea na mpenzi/mke wako amekuzoeaje maana kama hajakuzoea kunywa hayo madude ukinywa unaweza ukaishia kunyimwa mchezo au hata ukipewa yeye akawa hafurahii/hajisikii kutokana na harufu ya hizo pombe na matokeo yake hata usimame dk 45 inakuwa kazi bure zaidi utakuwa umeharibu.

kwa msaada zaidi cheki nami rmsanii@yahoo.com nina vitabu vitaavyokusaidia.
 
Maziwa ni fresh,mdalasini waweza weka vijiko viwili ya chai na asali vijiko viwili au vitatu au hata zaidi hakuna kinachodhuru hapo!!
Mdalasini unapatikana sehemu yeyote wanapouza viungo vya chakula na chai.
Du dada Michelle nashukuru kesho naanza hiyo dose na ni ya muda gani? ngoja nijaribu miezi 3 mfululizo jb ntawapeni
Pia nakupa pole dadangu kwa Ban hata mm Jukwaa la Siasa liliniponza nilimshabikia kichaa mmoja aliyetaka milango ya Bunge iwe inafungwa zichapwe ngumi kwanza nikapigwa BAN sasa huku naona kuzuri hakuna presha wala ushabiki wa uongo
 
Pole sana magulu mi nafikiri ni kucheza na fikra tu, sina uzoefu sana na watu wanaocome mapema ila hii ya kubana muscles naikubali sana pia ile ya mdalasini nayo nasikia wanaume wengi wanatumia.ila kwa sasa kabla hujapata solution jaribu kumfanya mkeo afike kwa kufanya oral sex sana kwani huwezi kutumia ulimi mpaka afike then umalizie? pls fanya hivyo kwa sasa kabla hujampoteza mkeo wakati mambo mengine yanaendelea.
 
Ukifanyiwa wewe hivyo itakuwaje!

Yoote nimeyakubali ila ile ya kuingiza kwa speedy wakati alikuwa anaenda taratiiiibu itarusha ile stimu kwa mwanamke. unajua mwanamke kufika ni hisia za hali yajuu sasa imagine ulikuwa taratiibu na ashaanza kuvuta hisia yuko karibu unamkurupusha anakuwa kama amestuka usingizini hivi then anaanza upyaaaaaaa. ila ile slow motion inafanya kazi saana kusaidia mwanamke kuvuta hisia ya kufika
 

Nadhani ushauri wako utamsaidia sana bwana Magulumangu
 
Hapo kuna njia kadhaa
mosi,fanya romance ya nguvu na mkeo hadi uone hapa ndania ya sekunde anafika
pili,jijenge kiakili kuwa lengo la ku du ni kumridhisha mkeo na sio wewe
tatu,tumia staili ambazo zitaruhusu loose penetration na contact ndogo ya miili yenu
nne,oga maji ya baridi
tano,kama mnywaji tumia vinywaji vikali kama konyagi
sita,kula vyakula vya kuleta nguvu na joto mwilini
sba,kizushi 😛iga punyeto kwanza kisha ingia mchezoni
nawasilisha
 
Sahihi yako inasumbua na mada hii (mla halwa),
Basi jitahidi ule tende kwa wingi zaimarisha kdg,

mhhh mambo ya pemba tena?mi naogopa ila je nikila harua inakuwaje? anyway ntakula tende....
 

sante sana dada nitazingatia ushauri wako sio kama wengine wananitukana mara ooohhh umeliwa mara atachukuliwa na wengine jamani, ushauri nahitaji?
 

kumbe dozi kila siku inapunguza eeehhh? Viagra sitaki hata kusikia...ntazingatia ushauri wako ndugu na ubarikiwe sana na mungu
 
Mimi huwa nachelewa kufika kileleni, yeye mwanamke anakojoa mara 2 ndo mie mara moja.

Ila nikishafika kileleni itanichukua nusu saa ili nianze tena.

Sasa mbona unajishaua hapa mkuu unataka nikupe mke wangu au? Toa ushauri nifanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…