Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
?mkuu me nadhani utakua unadooo kila siku suala ambalo linakupunguzia energy ya tendo la siku inayofuata...............hebu katafute mkuyati chemsha kunywa ila usimkomesheee
Soma thread ya Gosbert. Imo humu jamvini na watu wanaendelea kuchangia mawazo yao. Utapata technique natural ya kukabiliana na tatizo hilo. Usidiriki hata mara moja kutumia dawa za kuongeza nguvu. Utakuwa mtumwa wa dawa hizo
Tumsaidie mawazo ndugu yetu na si kujisifu.kama we unachelewa yeye itamsaidia nini?.
Jaribu kula asali mara kwa mara na wakati wa kufanya usimuangalie sehemu zake za siri au makalio
Nenda hospital inaitwa Natural and therapy, wapo opposite na Hindu mandal Hospital kuna mtaalam wa hayo mambo kuanzia kuwahi sana kama wewe na wengine kuchelewa sana mpaka inakuwa taabu kwa wanawake
Kaka inategemea unafika kileleni haraka ni kitendo chan ngapi. Kama ni cha kwanza kwa wanaume waliowengi huwa wanafika kileleni mapema. Na pia kumuogopa mkeo na kukaa muda mrefu bila kufanya nae huwa inachangia maana zinakuwa zimejitengeza na zinahitaji kutoka, kwa hiyo zitawahi kutoka tuu. Ushauri wangu unatakiwa ukifanya mara ya kwanza, mshawishi mwenzio muendelee ili uhakikishe anafika kileleni. Ni jukumu lako kumridhisha mwenzio ili asipate matamanio ya nje. Pia mueleweshe mkeo ajue wazi kuwa kwa mara ya kwanza lazima zitatoka mapema tuu. Kama mna watoto hakikisha unajipa muda mzuri wa kufanya tendo la ndoa, nina maana uwe na muda wa kutosha wewe na mwenzio. Kingine inaoneka umeshaathirika kisaikologia, hii pia itakufanya ujisikie mnyonge na kushindwa kusimamisha kuendela na tendo kwa mara ya pili. Ona ni kitu cha kawaida na muandae mwenzio ajue utafika mapema lakini mtaendelea.
eeeh,hembu tufafanulie hapo .mwanamke akigongwa afu jamaa akawahi huwaga mnahisi nini,kaa vile umekula hasara saana ama ?maana sijawahi kusikia mwanaume akakunja uso eti dame wake hajamridhisha.
Nijuavo mimi tatizo liko kisakoloji zaidi na demu anapokua anakasirika ndo anazidi kulikuza tatizo kwani confidence ya jamaa inakua affected inafika kipindi anakua anagwaya hata issue ya kusex.
Ni bora pia wamama wakawa wanajitahidi pande za rom hata pindi mshkaji akimaliza faster ili asimike na kurudia mechi kawaida baada ya goli la kwanza goli lifuatalo lazma lichelewe tu.
Short term plan piga master B kabla ya tendo long term plan ukamwone daktari wa mambo ya uzazi akushauri
Dawa ni kuchukua kaa dakika 15 kumpapasa mkeo kila mahali vizuri.
Hakikisha amelainika kwa sana kabla ya kuanza ngwe.
Stress mara nyingi husababisha mtu kuwa katika hali hiyo.
angalia uzito wako kama umeongezeka tuseme kilo 10 hilo linaweza kuwa tatizo vile vile
Punguza kula vyakula vya wanga vinavyoongeza weight.
Kula balanced diet kama inawezekana.
Kama unatumia ulabu kunywa bia mbili ili kuongeza msukumo wa damu.
Ongea na mkeo akupe ukweli, mwulize kama anahisi afya yako imebadilika.
Kuna wanaume wengi wanatatizo kama lako lakini wanaficha umefanya jambo zuri kusema hapa JF.
Kukojoa mapema mara nyingi ni chanzo cha ugomvi katika ndoa.
Hata mimi nilisha gombana na Mke wangu Mama Fox kwa kutofika kileleni kwa wakati mwafaka.
Unajua siye mafox tunakula vitu siku nzima mtindo wa binamu zeetu mbwa???
Mi ni mwanamke ila sie wanawake bwana sometimes! mwanaume akikawia sana tunaona kero akiwahi sana kero sijui hii kitu inakuwaje. mtu wangu alipata tatizo kama hilo wakati hakuwa hivyo, alichokuwa anafanya ni kunifanyia romance baab kubwa na mpaka nafika kilelen then anapiga sekunde zake tatu anamaliza. na wakati huohuo akaanza kunywa maziwa yaliyochanganywa na mdalasini na asali aliambiwa na mtu mara akabadilika cha moto nakiona, sasa imekuwa kero
Embu tupe zaidi hayo maujuzi,
hayo maziwa ni yale fresh au mgando?
Huo mdalasini nasikitika siujui, hiv naweza kuupata wapi?
Msaada mkuu.
Du hata mm Bi Shantel nieleweshe ni maziwa fresh, mdalasini na asali kipimo chake ni glass au kijiko au nusu kikombe?
kwa mie ninavyoelewa Magulumangu ni km nilivyomweleza Gosbertgoodluck ni romance kwa sana halafu hakikisha unaingia chumvini imumuse km pipi gololi au pulizo huku mzee wako akikaa mbali bibie asimguse wala wewe kumkandamiza popote.
kule mwenzio atalowana halafu shika mzee wako shingoni anza kumbamiza taratibu juujuu kwenye mashavu (minor&major labia) hiyo ndo KATERERO
Lazima atanyanyuka kuepa usiache, kwa vile kwenu nii kitu kigeni ajiweke free & flexible
Utahadithia jamvini
Asante sana kwa ushauri wako, kweli kabisa maana kama kuna siku zingine nikimaliza naunga juju kwa juu na inakuwa fresh na anafurahia sana tu na kuridhika, pia yeye wakati mwingine huwa anaamini kumaliza kwangu mapema kunamfurahisha maana anajua au is proving to her that nampenda sana ndo maana namaliza mapema au ni kuproove am only wake...asante sana ndugu yangu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi, bado ni mpya hivyo hatuna watoto au mtoto, we are new in marriage...
Ongeza "maromance" LOL! na pia kama hufanyi mazoezi basi anza kufanya hivyo kama vile kukimbia, kuruka kamba push up n.k. utaona improvement kubwa baada ya muda mfupi pia hakikisha unapata msosi uliokamilika.
When A Woman Loves - R. Kelly | Music Video | VEVO
Fanya yafuatayo:-
Muandae Mwanamke wako mpaka uhakikishe amelegea au hawezi kubana miguu yake yaani kaipanua; Ingiza uume wako kisha utulie tu bila kuanzisha misuguo mpaka yeye aanze. akianza wewe nenda taratibu saana; akijaribu kuongeza kasi ili akuhamasishe sukuma kwa nguvu halafu tulia tena umsikilizie akiwa anaendelea kufanya msuguo then sugua haraka ila isiwe haraka sana. haitajarisha mmetumia muda gani kufika kileleni isipokuwa yeye atakuwa amefika kileleni hatajua kama umefika au la!! waweza kujifanya umefika ili asijihisi vibaya an kwa kuwa wewe utakuwa hujamaliza lazima baada ya muda mfupi utasimamisha hivyo mtaendelea tena!! KWA NAMNA YEYOTE USIJARIBU KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU. Pia unapotaka kufika kileleni usijaribu kujizuia, achia tu mambo yafanyike. Mbadala wa dawa za kuongeza nguvu ni Kahawa; vyakula visivyo na sukari; korosho; karanga; tafuna nazi mbichi; kula vyakula vyenye chumvi ay kama unakunywa pombe nenda kanywe Serengeti. siyo safari wala ndovu SERENGETI.
Maziwa ni fresh,mdalasini waweza weka vijiko viwili ya chai na asali vijiko viwili au vitatu au hata zaidi hakuna kinachodhuru hapo!!
Mdalasini unapatikana sehemu yeyote wanapouza viungo vya chakula na chai.
Toa ushauri ni vipi umefanikiwa ili jamaa nae awe kama wewe!
Kabla ya kuanza mchezo inatakiwa uwe unamuandaa mkeo kwa muda mrefu, la sivyo ndugu utakuja kulia utakapoibiwa!
Ni yale ya mtindi wakati mwingine haya ya kawaida. mdalasini ni yale magome ya miti yanatumika hata kwenye pilao ukienda kwenye viungo vya pilao watakupa unayasaga kwenye blender yanakuwa unga asali ni ya nyuki wadogo hii inafanya kazi nimeshuhudia mwenyewe
Duh umenichekesha sana nimejaribu kufikiria ni mimi ndio nafanyiwa hivyo yaani nimechekaje???? haya magulu maujuzi mengine hayo