SafiiiNdivyo alivyoambiwa, ameambiwa ni upuuzi ameruka nchi zote huko alitoka zisizo na kitimoto aje kulalamikia kitimoto Japan.
Waarabu hicho kitu hawajajaaaliwa.socialization skills ndio mpango ,utaishi na jamii yyte ile bila kwaro.
Huyu ni mgeni huko Japan, kwa nini asirudi kwao Afghnistan au Yemen akale vyakula visivyo na kitimoto?Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Wasabato pia nakumbuka walitukosesha masomo jumamosi πWaislamu hata wawe wawili tu kwenye watu 200,000 watataka recognition.
Wale wakristo wachache wa Zanzibar wangekuwa ndiyo waislamu,kelele zake ingekuwa balaa.
hakua na njaa huyo πRai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857