MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

Mabinti wengi kwa sasa hawahitaji ndoa ukweli ndio huo
Hizo kauli wanaziongea wakiwa below 25,ila above wanazitaka sana ndio,ndio maana wamejazana kwa waganga na wachungaji wakingojea miujiza wakati tabia zao zilizo wafanya wasiolewe hawataki kuzibadilisha.

Kuna wanawake wana hela,elimu zao wanahaha umri umeenda watu wanapiga kwa kudokoa na kuhama,wanaishia kuwatajirisha wachungaji.
 
Ndoa sio kuoa Tu ! Je unamtimizia matarajio yake kama mwanamke? Better turudi kwenye misingi yetu uone kama huyo mwanamke atakataa wewe umuoe
Misingi ipi wakati dunia sasa hivi ipo kwenye ulimwengu wa 50/50,haki sawa na usawa wa kijinsia.

Hiko ulicho ongea kwa sasa hakiwezekani na hata wanawake wenyewe hawataki na ndio maana talaka zimekuwa nyingi ,single parents wa kumwaga yaani kwa kifupi hamna misingi inayo simamia ndoa.
 
Asante sana Kelsea na Aaliyyah nilisha waomba sana niwaoe sasa nawaacha mazimaaaaa.
 
Huwezi kuolewa tu na kila mwanaume anayesema nikuoe...kuoa ni majukumu je huyo muoaji ana sifa za kuwq mume?
Okewa wewe mshangazi.....njoo kwangu utapata huduma zote kasoro huduma ya de liboloz. Ila usijali kila miezi miwili nitakupa uhuru wa kwenda kugegedwa na de liboloz
 
Okewa wewe mshangazi.....njoo kwangu utapata huduma zote kasoro huduma ya de liboloz. Ila usijali kila miezi miwili nitakupa uhuru wa kwenda kugegedwa na de liboloz
😂😂😂😂Ndio hayo tunayosema mume lazima lazima atimize majukumu,ya kimwili na kiuchumi....sasa niolewe na wewe nikashughulikiwe na J4 kweli?hapo ni sawa na kula ccm kulala Chadema
 
Una maamisha huyu anaetaka kunioa nimkubalie😂😂huu mtego acha nionekane Sina future aiseee
 
😂😂😂😂Ndio hayo tunayosema mume lazima lazima atimize majukumu,ya kimwili na kiuchumi....sasa niolewe na wewe nikashughulikiwe na J4 kweli?hapo ni sawa na kula ccm kulala Chadema
Sasa wee uliona wapi mume complete yaani anahudumia vizuri na pia anacheneta mbususu vizuri
 
Aaah wapo bwana.....ila akiwa na hela inatosha kushenyeta tutavumilia
Mnasemaga hivyo wakati mnanjaaa mkishashiba mnaanzaga oh natafhta furaha ya nafsi🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…