Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
ngoja waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siwezi na sitakaa niweze😂😂🤣🤣🤣 Inawezekana cute...au huwezi?
Hizo kauli wanaziongea wakiwa below 25,ila above wanazitaka sana ndio,ndio maana wamejazana kwa waganga na wachungaji wakingojea miujiza wakati tabia zao zilizo wafanya wasiolewe hawataki kuzibadilisha.Mabinti wengi kwa sasa hawahitaji ndoa ukweli ndio huo
Misingi ipi wakati dunia sasa hivi ipo kwenye ulimwengu wa 50/50,haki sawa na usawa wa kijinsia.Ndoa sio kuoa Tu ! Je unamtimizia matarajio yake kama mwanamke? Better turudi kwenye misingi yetu uone kama huyo mwanamke atakataa wewe umuoe
Why you said so?Ndugu Lugano Edom wewe ni mwanaccm?
Asante sana Kelsea na Aaliyyah nilisha waomba sana niwaoe sasa nawaacha mazimaaaaa.Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA
👇
Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako.
But real women 🚺 hakatai mwanaume.
Hasa mwanaume anayehitaji kuoa
So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
Okewa wewe mshangazi.....njoo kwangu utapata huduma zote kasoro huduma ya de liboloz. Ila usijali kila miezi miwili nitakupa uhuru wa kwenda kugegedwa na de libolozHuwezi kuolewa tu na kila mwanaume anayesema nikuoe...kuoa ni majukumu je huyo muoaji ana sifa za kuwq mume?
😂😂😂😂Ndio hayo tunayosema mume lazima lazima atimize majukumu,ya kimwili na kiuchumi....sasa niolewe na wewe nikashughulikiwe na J4 kweli?hapo ni sawa na kula ccm kulala ChademaOkewa wewe mshangazi.....njoo kwangu utapata huduma zote kasoro huduma ya de liboloz. Ila usijali kila miezi miwili nitakupa uhuru wa kwenda kugegedwa na de liboloz
Una maamisha huyu anaetaka kunioa nimkubalie😂😂huu mtego acha nionekane Sina future aiseeeNimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA
👇
Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako.
But real women 🚺 hakatai mwanaume.
Hasa mwanaume anayehitaji kuoa
So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
Sasa wee uliona wapi mume complete yaani anahudumia vizuri na pia anacheneta mbususu vizuri😂😂😂😂Ndio hayo tunayosema mume lazima lazima atimize majukumu,ya kimwili na kiuchumi....sasa niolewe na wewe nikashughulikiwe na J4 kweli?hapo ni sawa na kula ccm kulala Chadema
Aaah wapo bwana.....ila akiwa na hela inatosha kushenyeta tutavumiliaSasa wee uliona wapi mume complete yaani anahudumia vizuri na pia anacheneta mbususu vizuri
Mnasemaga hivyo wakati mnanjaaa mkishashiba mnaanzaga oh natafhta furaha ya nafsi🤣🤣🤣🤣Aaah wapo bwana.....ila akiwa na hela inatosha kushenyeta tutavumilia
Tupe uzoefu wako
Ngoja nikae kimya mieTupe uzoefu wako
Kudanga mjini na vijijiniIla kipaumbele chake ni?
Hututendei haki bwana. Neno moja tafadhaliNgoja nikae kimya mie