joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Kweli kiazi kwani wewe unayo andika unaandika kwa mamlaka gani? We kima nini.1) Huu uharo ulioandika hapa unaongea kwa mamlaka gani? ?
Mamlaka ya tamaa zako? ?
We see things as we are, all you see are filthy people, that's because you're filthy yourself.
Safisha huo moyo wako mchafu.
2) MUNGU tunayemfuata amesema inawezekana basi inawezekana.
Kushindwa kwako hakubatilishi neno la MUNGU wetu.
Na hili sio jambo la kikundi ni jambo la kibinafsi. Muache viherehere.
"Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.
Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa."
1Wakorintho.7.9.NENO
3) Wewe kudhihaki "wanaojiheshimu", "walio celibate", "wa kwenye nyumba za ibada" inathibitisha tu kuwa ni kibaraka wa kuzimu, pepo mchafu, kutwa kushtaki ndugu za Kristo.
"Naam, ametupwa chini huyo anayewashtaki usiku na mchana." Ufunuo.12.10.BHN
4) Kama kuna mtu kwenye nyumba ya ibada anajulikana kuwa mtenda dhambi asiyetubu, MUNGU ashatoa maagizo:
"Yamkini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujafanyika hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake.
Nanyi mwajivuna! Je, haiwapasi kuhuzunika na kumtenga na ushirika wenu mtu huyo aliyefanya mambo hayo?"
1Wakorintho.5.1-2.NENO
5) Wewe mwenyewe kibinafsi ukiona mtu wa namna hiyo, hekima ikutume:
"Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi.
Lakini sasa nawaandikia kwamba msishirikiane na mtu yeyote anayejiita ndugu, hali akiwa ni mzinzi, au mwenye tamaa mbaya, mwabudu sanamu au msingiziaji, mlevi au mdhalimu. Mtu kama huyo hata msile naye.
1Wakorintho.5.9-11.NENO
Huwezi kuwa na akili timamu ukaona mtu anafanya uchafu huko halafu uangushie kanisa zima jumba bovu.
6) Hata huyo uliyemuona akianguka, wewe pepo ndo umemkatia tamaa na kuona ni jambo la kushikilia na kumshtaki milele. MUNGU wetu ni tofauti:
"kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena; lakini waovu huangushwa chini na maafa."
Methali.24.16.BHN
"Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki, atatusamehe dhambi zetu na kutusafisha kutokana na udhalimu wote."
1Yohana.1.9.NENO
7) Do not underestimate the Power of God.
"Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu."
1Yohana.3.8-9.NENO
8) I just realised inaonekana as if hakuna miujiza these 2000years kumbe miujiza ipo.
Karne ya kwanza hakukuwa na tiba ya epilepsy so YESU kuponya huo ugonjwa ni muujiza.
Karne ya 21 karne ya pornografia na kila aina ya uchafu watu hawawezi kuishi bila kushika nyeti zao, wakisikia kuna mtu wa hivyo hawaamini! Ni mujiza!
Seriously what a pathetic generation.
Utafiti nimeufanya kwenye mazingira niliyokuwa nikiishi, kipindi nikifanya internship, Tempo,kwenye maeneo niliyo kaa na mpaka sasa napiga shughuli zangu na taasisi nyingi tu so nimeandika nilicho kiona na kukishuhudia. As long ushaulamba mkopo wa sukari ni ngumu tena ngumu sana, kukaa bila kufanya tendo,yaani kwenye mia hawazidi watatu, siku hizi wanajiita celibate maigizo matupu.Leta uthibitisho wa haya madai yako. Na huo utafiti uliufanya kwa watu wangapi ,wanaishi wapi,wanafanya kazi gani,uliwapataje pataje,ulikusanya vipi data zako na hadi ukaja na hiyo idadi ya " katika mia hawazidi watatu".
Kwa hii ngonjera inaonekana una stress sana na miaka yako 30+ na huna mtu wa kueleweka π1) Huu uharo ulioandika hapa unaongea kwa mamlaka gani? ?
Mamlaka ya tamaa zako? ?
We see things as we are, all you see are filthy people, that's because you're filthy yourself.
Safisha huo moyo wako mchafu.
2) MUNGU tunayemfuata amesema inawezekana basi inawezekana.
Kushindwa kwako hakubatilishi neno la MUNGU wetu.
Na hili sio jambo la kikundi ni jambo la kibinafsi. Muache viherehere.
"Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.
Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa."
1Wakorintho.7.9.NENO
3) Wewe kudhihaki "wanaojiheshimu", "walio celibate", "wa kwenye nyumba za ibada" inathibitisha tu kuwa ni kibaraka wa kuzimu, pepo mchafu, kutwa kushtaki ndugu za Kristo.
"Naam, ametupwa chini huyo anayewashtaki usiku na mchana." Ufunuo.12.10.BHN
4) Kama kuna mtu kwenye nyumba ya ibada anajulikana kuwa mtenda dhambi asiyetubu, MUNGU ashatoa maagizo:
"Yamkini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujafanyika hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake.
Nanyi mwajivuna! Je, haiwapasi kuhuzunika na kumtenga na ushirika wenu mtu huyo aliyefanya mambo hayo?"
1Wakorintho.5.1-2.NENO
5) Wewe mwenyewe kibinafsi ukiona mtu wa namna hiyo, hekima ikutume:
"Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi.
Lakini sasa nawaandikia kwamba msishirikiane na mtu yeyote anayejiita ndugu, hali akiwa ni mzinzi, au mwenye tamaa mbaya, mwabudu sanamu au msingiziaji, mlevi au mdhalimu. Mtu kama huyo hata msile naye.
1Wakorintho.5.9-11.NENO
Huwezi kuwa na akili timamu ukaona mtu anafanya uchafu huko halafu uangushie kanisa zima jumba bovu.
6) Hata huyo uliyemuona akianguka, wewe pepo ndo umemkatia tamaa na kuona ni jambo la kushikilia na kumshtaki milele. MUNGU wetu ni tofauti:
"kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena; lakini waovu huangushwa chini na maafa."
Methali.24.16.BHN
"Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki, atatusamehe dhambi zetu na kutusafisha kutokana na udhalimu wote."
1Yohana.1.9.NENO
7) Do not underestimate the Power of God.
"Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu."
1Yohana.3.8-9.NENO
8) I just realised inaonekana as if hakuna miujiza these 2000years kumbe miujiza ipo.
Karne ya kwanza hakukuwa na tiba ya epilepsy so YESU kuponya huo ugonjwa ni muujiza.
Karne ya 21 karne ya pornografia na kila aina ya uchafu watu hawawezi kuishi bila kushika nyeti zao, wakisikia kuna mtu wa hivyo hawaamini! Ni mujiza!
Seriously what a pathetic generation.
Pole sana dada, naona majuto ya body count Kwenye comment zako πBody count yake inakufanyann wwπ«΄πΎMaswali ya kitotoπ
Tofautisha wanandoa waliofika hy miaka wakiwa kwenye uchumba ndipo wakaamua kufunga ndoa, na wale ambao wamekutana wakiwa kwenye hy miaka, hao n watu wawili tofauti.Kumbe hawa wanaooa kila jmos ni wendawazimu na hamtwambiiπ§
Hao wa 30 washapaniki maana akili za mwanamke zilivyo mbovu, wanafikiri kuolewa ndo destination ya maisha, ndomaana wanawasumbua waganga na manabii.Mlikuwa mnafikiri wanawake wa 30s ni easy target yenu eenhe π
Bado hadi tuelewane.
Alidai kaolewa hatiingia tena jf, na nyuzi zake zilikuwa hazieleweki, nahisi alichanganyikiwa.da mau alipotea sijui ilikuaje ila alikua wa motoπ
Mbona unanisuuza as if if unanijuaπ hiyo ya kugusa tu na kupata taswira si kweli! Kila mtu ana maumbile yake! Kuna watu hawatanuki kama ulivyokaririshwa..Pole sana dada, naona majuto ya body count Kwenye comment zako π
Ila ukweli ndio huo, wanawake mnathaminiwa na wanaume kulingana na body count zenu, Na Uzuri n kwamba h kitu haifichiki, mwanaume akigusa tuu hapo anaweza kupata taswira n namna gani umechakazwa
Shenzi kabisaπ haya futa comment yako kwenye lipa yanguπIsipoingia pesa tambua kuwa nimekosea namba na kumtumia mtu mwingine kwa maana nimeelewa kwa mbaaalii!
Pole πMbona unanisuuza as if if unanijuaπ hiyo ya kugusa tu na kupata taswira si kweli! Kila mtu ana maumbile yake! Kuna watu hawatanuki kama ulivyokaririshwa..
Asante!Pole π
Hiyo utajua ww, ila vijana wenzenu ndio hao wamewageuka wanaona mishangazzzπHii tumbo mbona kama imeshapitia mengi b4
Kwani kuna shida?ππ€·π½ββοΈ... anawaona
π π π π π π kama mazuriivilee nmh
Woyoooooππππ½ππ½umenikumbusha dogo wetu mmoja ndugu tu alibebaa lishangazi siku ya ndoa yaan ukumbi umejaa nzi tu ndugu walimsusia aisee hata hivyo tuliishia kuondoka na vinywaji vya kutosha na ndoa ikafungwa kwa sasa wako texas....
Mashangaziiiiii popoter mlipooo oyeeee
Natambuaa uwepoowenuu na umuhimuu wenuuu ktk jamiii wala msikate tamaaaa damu zipo za kutosha......
ila wakiishafunga ndoaa wanapigwa matukio balaa siri yao wakati mwimgine WANafikiria WAEnde ITV WAKAELEZE MATUKIO WANAYOPIGWA WANAWAZA WATAKUWA WAMEJENGA WAMEBOMOAAA π π π€£ π
WANARUDI NYUMBAN WANASEMA LEO NGOJA NIMNUNIE JAAMAA LINARUDI LINAINGIA NDANI BILA SALAMU SHAAH KITANDANI
NYIE MSISIKIE KWA WATU MASHANGAZI
WENGI N WAVUMILIVU SANA
PIGA KELELEEEE KWA SHANGAZIII YAKE
π π π π