Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Aisee hebu muite mtetezi maana wengine hapa dk mbili mbele! Tusijemkosea heshima mtu mzima hapa! Kutwaaaa mahubiri ya wanawake waolewe vipi! Kwani kuna sehemu tunawabana hawa wazee? Hataki kujipigia mishangazz iliyo single eti😆
Kumbe wewe ni mwanamke khaaa ndiyo nimejua leo
 
1) Wewe kuniita kima haibadilishi kuwa umepost uharo.

2) Ujinga uko nao wewe ambaye kila ukiangalia unaona watu wa hovyo! Unaona wanafiki!

Look at yourself!

Ni kwasababu WEWE ni mtu wa hovyo! WEWE ni mnafiki!

Kwahiyo sio tu huoni wasio wa hovyo na wasio wanafiki, huamini kuwa kuna wasio wa hovyo na wasio wanafiki kama wewe.

3) Naandika kwa mamlaka ya MUNGU sio maneno yangu, ndio maana ya mimi kukopi vifungu.

Sio mimi niliyesema shetani na vibaraka wake wanashinda kushitaki ndugu za Kristo, ni MUNGU.

Sio mimi niliyesema usichangamane na mtenda dhambi asiyetubu ni MUNGU.

Sio mimi niliyesema ukiungama MUNGU atakusamehe na kukusafisha, nI MUNGU.

Sio mimi niliyesema mwenye haki ataanguka mara saba na atasimama, ni MUNGU.

Tofauti na wewe na uharo uliopost, yote uliyopost yanaakisi tamaa zako, unafiki wako na utu wako wa hovyo.


4) Sasa mbona unajipinga mwenyewe. Which is which?

Je "unayemuona mwenye dhambi anaweza kubadilika"?

Au "ushaanza kuonja mkopo wa sukari utautafuta hata kwa siri"? Basically umewahukumu milele.

Which is which?

Narudia wewe kukaa kuona wanafiki wanaoigiza ni kwasababu you're one of them! !

Siku utakayoacha uchafu na unafiki utawaona wenzio wengi sana.

Wa hovyo na wanafiki hawatuhusu, hatuna muda wa kuwafuatilia, tena tunawaepuka.
 
Wewe unaopost ujinga na ushibwada mtupu.
 
Duh mleta mada umeanzisha vita vikali sana aisee,hao mademu 30+kwenye comments wana hasira kama nyoka aliyejeruhiwa mkia!,
Hii vita sikusaidii chochote embu pambana nayo mwenyewe.!!
Tuki ignore threads zenu mnajifanya "hawawezi kupita hapa".

Tukiwajibu "wana hasira".

Just to make the situation toxic at all times. Demonic.
 
Miaka 30+ binti tayari keshachezewa na wanaume wa kila aina na kuumizwa sana mpaka amekuwa feminist sugu wa hisia na maumbile halafu unamchokoza hivi hivi? Mleta mada kayataka mwenyewe! 😂😂😂😂
Ah kwenda zako shetani, abusers mnapenda kuona mwanamke akilialia akinyong'onyea.

Akisimama not allowing nonesense mnaanza abuse zenu kuwaita majina.

Eti sugu wa hisia na maumbile. Kwamba ulitaka akupe mwili wake bure umwage uchafu wako uondoke ndo ujue ana hisia! ! Demonic.
 
Hawa wapumbavu ukiwafatilia utaumiza kichwa bure! Anahisi kila mtu ni kama dada zake kuchakazwa ni lazima! Nimegundua watoa malalamiko wengi wamekataliwa sana! Amekaa anaona kila mwanamke kuanzia 20s to 30s hawamtaki anakuja kutapika uharo hapa! Kwani wamejuaje hawa watu wamechakazwa? Wanajichakaza wenyewe au wanachakazwa na wajinga wenzao! Mpumbavu mmoja achana naye!
 
Idadi ya wanawake uliowatumia kwenye utafiti wako walikuwa wanawake wangapi ? Njia ya kukusanya data ilikuwa ipi? Utafiti uliufanya kwa miaka mingapi? Data analysis ulifanyaje?
 
Idadi ya wanawake uliowatumia kwenye utafiti wako walikuwa wanawake wangapi ? Njia ya kukusanya data ilikuwa ipi? Utafiti uliufanya kwa miaka mingapi? Data analysis ulifanyaje?
Kwa hiyo ulitaka sijui Qualitative na Qualitative, utazani kuna documents natakiwa kushare. Haya nilitumia Data analysis, nikatumia Python Library (Numby,Pandas,Matploitlib) kwenye kuchakata hizo data,nikagundua ni 90% plus,vip unataka documents?
 
PERSONAL PRAYERS AGAINST DELAY 🔥

📖 Anchor Scripture
“The vision is yet for an appointed time… it shall surely come, it will not delay.” — Habakkuk 2:3 (NKJV)

6 PRAYER POINTS

I declare every delay working against my destiny is broken now. I step out of stagnation and into divine momentum.

I decree divine speed over my life. What has taken long will move fast by the hand of God.

I command every invisible resistance slowing my progress to be removed now, in Jesus’ name.

I speak restoration of lost time. Years swallowed by delay are redeemed starting now.

I enforce angelic acceleration over my career, finances, family, and purpose. Nothing good will arrive late again.

I prophesy I will not miss my season. I arrive on time, I finish strong, and my testimony will not be postponed.

Delay is cancelled.
Speed is released.
My season has arrived.

Say Amen
By Pastor Pdidy
 
Amen pastor , ila badili hilo jina huwezi ukawa pastor then ukawa pdidy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…