Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Huwezi jua anasubilia menopause ifike ndo aolewe
 
Your browser is not able to display this video.

🥰
 
Anasubiria aoe labda. Afu mkumbuke wanaume dunian n wachache sana so kwa ratio ya haraka haraka wanaume inatufaa tuoe watatu na kuendelea atleast masingle watapungua. Kuna dada jirani hapa kwetu ana miaka 38 juzi ilikua bday yake yaan mdada wawatu konyagi kubwa anaipiga 1touch sasa mziki wake hadi raha akiweka bia tatu kushushia aki atalia ni kama amefiwa atawachamba wanaume walomkudus, mara oh dan mavuzi n mshamba hajui lolote mara pat mkuria anajua mapenz lakini ana hasira cjui mose yule mrefu atahema hadi uogope kuwa anafia kifuani nawaambia hiyo clip nnayo nikamwonyesha alivokua cku hyo hadi saa hivi tunavooengea hatoki ndan tangu tar 22 feb. Ok ni hivi hawa dada zetu wao wanajua hawazeeki so long as anapanua miguu na kuingizia mtulinga huku akijua kuupepeta hana habar na hatakua na habar ya kuolewa. Kuja ifike aseme ati wanaume wote n mbwa jua kuna jambo limempita na ni jambo alihitaji mwanaume amfanyie lakin huyo huyo mwanaume akajisahau baada ya kuonjeshwa kikojoleo sasa inabaki kuwa n potelea mbali.
 
1. Kuzingatia Elimu na Kazi (Career Development),Wanawake wengi sasa wanaweka kipaumbele cha kwanza kumaliza masomo ya juu na kujenga misingi imara ya kazi au biashara kabla ya kufunga ndoa. Utafiti unaonyesha kuwa kutafuta uhuru wa kifedha hupunguza kasi ya kutafuta ndoa mapema.

2. Kusimamia Vigezo (High Standards/Selectivity),Wanawake wengi waliofikisha umri huu wanakuwa na ukomavu wa akili na ufahamu mpana wa aina ya mwanamume wanayemtaka. Hawawezi kukimbilia ndoa kwa shinikizo la jamii na badala yake wanachagua mshirika anayefaa kwa makini.

3. Hofu ya Ndoa Kuvunjika (Fear of Divorce), Kutokana na kuongezeka kwa talaka, wengi wanachukua muda mrefu kusoma tabia za wenza wao ili kuepuka ndoa ya muda mfupi. Wanapendelea kuchelewa lakini wapate mtu sahihi, badala ya kuolewa mapema na kuachika.

4. Uhuru na Kujitegemea (Independence), Wanawake wengi wanaona kuwa na uwezo wa kujihudumia kiuchumi kunawapa uhuru wa kutolazimika kuolewa ili kupata msaada wa kimaisha.

5. Kutokupatikana kwa Wenza Sahihi (Partner Mismatch),Wakati mwingine, wanawake wanakuwa tayari kuolewa, lakini hawajampata mwanamume anayekidhi matarajio yao au mwanamume ambaye pia yuko tayari kujitolea kuanzisha ndoa.

6. Kubadilika kwa Mitazamo ya Kijamii,Dunia ya sasa inaanza kuacha mtazamo kuwa mwanamke akifika 30 hafai kuolewa, na badala yake kuona ndoa kama jambo la wakati wowote. Wengi wanaamini "kila mtu atachanganikiwa kwa wakati wake
 
Umesema vyote dada! Kijana alijua labda tunamsubiri yeye🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…