Tuzungumze yote pamoja na mazao ya hiyo ndoa. Mnabeza ndoa, ila mnazaa nje, matokeo yake watoto wanakosa malezi bora na jamii inakuwa hovyo.Hapa tuzungumze kuhusu muhusika mwenyewe binafsi anaeingia kwenye ndoa.
Vipi kuhusu body count yakeMjomba kuna pisi ukisogezewa huchomoi or else una stress zako tu😂
Body count yake inakufanyann ww🫴🏾Maswali ya kitoto😅Vipi kuhusu body count yake
Wewe unaona ni swali kitoto kwa sababu sio mwanaume.Body count yake inakufanyann ww🫴🏾Maswali ya kitoto😅
Sasa akikudanganya ni wawili na kumbe 150+ utajuaje?Wewe unaona ni swali kitoto kwa sababu sio mwanaume.
A woman must be judged harshly either by her past or status, you like it or not
Yaani niende nikachukue malaya aliyetembea na wanaume kibao eti kisa ni pisi.Hell no😏
Siwezi kukurupuka, lazima nimfanyie forensic investigationSasa akikudanganya ni wawili na kumbe 150+ utajuaje?
Bikra umeijuae kama anayo?Si kweli, kuna dada namjua yuko 30, hata kuongea hawezi ana aibu na bado bikra na hajaolewa! Kuna wamama wana watoto jopo na bado wanaolewa!
Haya mambo hayanaga formula kijana, unaweza ukafikiri wakorofi hawaolewi kumbe vijana wenzio wanakugeuka huku wanaoa mpaka mayaya+420🫡😃
Thingz kwa ground ni different aisee!
Sio rahisi kama unavyofikiria hujakutana na wajelajela 😃Siwezi kukurupuka, lazima nimfanyie forensic investigation
Najua tu😅Bikra umeijuae kama anayo?
Hakumaanisha kila mwanamke Yuko hivyo bt asilimia kubwa ya wanawake wapo hivyo, hence the generalisationHivi nani aliyewadanganya kwamba mtu ambaye hajaolewa lazima awe anatumika anachakazwa? Sio kila mtu ana pepo la ngono,kuna watu wanajiheshimu na kujitunza kwa kuthamini miili yao. Sasa wewe endelea kujifariji eti mtu ambaye hajaolewa anachakazwa wakati walio kwenye ndoa ndo wanachakazwa zaidi na kuwafanya nyie wanaume mlee watoto wa wanaume wenzenu kwa mahaba yote mkiamini mnalea damu zenu. Kama wewe huwezi kudhibiti tamaa zako za mwili usidhani kila mtu hawezi. Usiwape wengine ugonjwa wako
Asilimia kubwa ngapi? Atupe matokeo ya utafiti wake uliomfanya akaja na hiyo generalizationHakumaanisha kila mwanamke Yuko hivyo bt asilimia kubwa ya wanawake wapo hivyo, hence the generalisation
ni mila, desturi, tamaduni na dini mwanamke aolewe ili azae watoto kuendeleza familia/ukoo. Sasa kama mwanamke haolewi huoni kuwa inaleta mtazamo hasi katika jamii? Suala la kufanya mapenzi na kuzaa litakaaje kwa mwanamke asiyeolewa?Tatizo lenu huwa mnadhani ili kuishi vizuri na kwa furaha, mwanamke ni lazima aolewe.
Akizaa bila ndoa tena ataanza kutukanwa kwa majina machafu " singo maza" na mfano mzuri ni humu JF ambapo nyuzi za kuwasema singo maza zimejaa na wanaume wanahimizana wawaepuke kama ukoma. Azae bila ndoa ataitwa singo maza, asizae asubiri kuzaa kwenye ndoa yake tena anaonekana mzembe. Wanawake tuna shida sana😂😂😂Labda kama mtoa mada ungesema kama umri huo bado mwanamke hana mtoto hata bila ndoa. Mpaka kufikia umri huo halafu mwanamke hana mtoto wakati amebakisha miaka michache afikie menopouse basi huo ni uzembe wake, hakutumia vema talanta yake aliyepewa na Mungu
Maana yake wanakwambia uwaoe, kama ambavyo mleta mada ana waambia hao wanawake waache kukaza!Kuna exception, wadada ambao ni jirani zangu wananisimanga coz sijaoa binti kiziwi
wanajichelewesha bure, mwisho wanajikuta hawazai kwa umri kupanda hata akibahatika kubebwa uzeeni ni kwenda kumpa joto tu mzee ila mtoto hatatokeaAnasubiri mwanaume mwenye kazi nzuri Gari mrefu na
unataka utafiti gani? Huo ndio utafiti wenyewe ndio maana akaleta hojaAsilimia kubwa ngapi? Atupe matokeo ya utafiti wake uliomfanya akaja na hiyo generalization
Anajitambua.Nenda direct kwenye point mzee😂