fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,481
- 4,014
Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea.
Imeniumiza sana aisee nikimtazama mtoto analia mpaka anatetemeka miguu amechoka. Hivyo nikaona nimpandishe gari(daladala) pia nikampa pesa kidogo ya matumizi.
Lakini naamini ile pesa niliyompa sio solution yani nisawa sijafanya kitu kwasababu hiyo pesa ndani ya wiki tu itaisha na mambo yataendelea kuwa magumu kwa yule mtoto. Nimewaza Sana aise na naamini kuna watoto wengine wanateseka Sana kwasababu ya watu wawili walio tanuana miguu na kukosa uelewa.
Sasa nawakumbusha na nyinyi ambao bado mnaendelea kutanuana miguu, nawakumbusha kuwa Kuna mimba na kuna kulea naomba mkumbuke hilo aise mnatesa sana watoto.
Mwanamke kabla hauja tanua miguu yako na wewe kaboy ambaye unajua kabisa hautaweza kulea kabla haujafanya chochote kwa huyo mwanamke naomba ukumbuke kuna mimba na kulea sio unatanua tu au unaingiza tu Kama mbwa watoto wanateseka Sana.
Matokeo yake tunatengeneza watu wenye roho mbaya watoto walio teswateswa wakiwa wadogo asilimia kubwa wakiwa watu wazima wanakosa utu wanakuwa hawana huruma.
Unakuta mtu nikiongozi hana huruma na Nchi hana huruma na watu wake hana huruma na wananchi kumbe deep chanzo ni malezi yasio bora unyanyasaji na mateso alipo kuwa mtoto wake up women and men .
Kama mwanamke wako hijatambui hajui siku zake za hatari wewe mwanaume msaidie mpe elimu ajitambue kama unajua hautaweza kulea mtoto sio wote mnakuwa mazezeta mnatanuana tu wambea wambea tu mnafanyafanya tu kama mbwa mwizi.
Tunawatesa watoto.