Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

As long as mwanaume ume hajakutamkia anataka kuzaa na wewe....the blame shuld fall squarely on the woman. Kenge kabisa mwenzio kaja kiburudani wee unataka kumbebesha majukumu he not ready to handle
Achana na kenge Mkuu fikiria damu yako .
 
Achana na kenge Mkuu fikiria damu yako .
Damu yangu kama niliitaka sasa mie nilikuwa kiburudani sina ile wala lile kuhusiana na kuwa na mtoto. Kenge yeye kwa akli zake fupi anashika mimba wacha apambane na hali yake
 
Badala ya kumpa pesa huyo mjingaungempiga makofi
 
Mpangaji wangu alipewa mimba na kajamaa kayao kalikuwa kanakuja kulala kwake kanaishi sehemu nyingine nahisi kana mke mwingine siku mpangaji wangu huyo kapatwa na uchungu kajamaa hakajaja majirani kupiga simu hakapokei kutuma meseji hakajajibu baadae kakazima simu siku nzima hakapatikani mzigo wakabeba majirani wakampeleka hospitali kajifungua baada ya mwezi mmoja kakajileta kamekuja kumtomba mwanamke wake, kamekuja na pocket money elfu tano, majirani walishakubaliana kwamba jamaa sio mtu mzuri basi alipoingia ndani kwa mwanamke akamtext mjumbe akawataarifu majirani wakavamia nyumba kajamaa kamekula bakora kama zote mwisho wa siku kakajifanya kwenda polisi wame kaweka chini ya ulinzi mkewe alitoa Siri kuna mpangaji alilewaga akatoka nje kutapika usiku akasahau kufunga mlango kakamuibia smart phone mbili na elfu themanini. Ndugu zake wamegoma kukawekea dhamana kapo keko Hadi muda huu.

Hivi vijamaa vinavyo zalisha wanawake halafu havina uwezo wa kuwahudumia vikhanithi Sana hivi vinatakiwa kuwa vinacharazwa bakora
 
Hakika Mkuu.
 

Fact
 
Sababu zawatoto kuteseka ninyingi kila walau ungepata sababu zahuyo mtoto kuteseka ndouje tuchambue ilikamakuna mtu anadalili za tabia hizo apate ushauri vinginevyo utakuwa imefurahisha genge mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…