Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

Tuna kopi na kupesti kutoka hata kwa akina ze bulldozier🤣
 
Itoshe kusema tu ya kwamba wewe famba..punguani usiokuwa na mbele wala nyuma. Wewe unawajua wale watu? Wao wamesema wametengana..wewe unasema sio kweli..baasi tuambie unachojua huku jf.
Mwenezi kama mwenezi🤣😅
 
Kama watu wanapenda drama, wape wanachotaka ili uvune kukubalika, kura, endelea kula supu, nyama utazikuta chini post 2025!.
P

Ingekuwa hizo drama zinaleta kura, Magufuli alipora uchaguzi wa 2020 kwanini? Maana Magufuli alikuwa ni namba Moja kwa hizo drama.
 
Waliomteua ndio wana matatizo makubwa sana sana, anachokifanya Makonda ni usanii na ulaghai mkubwa, ni utoto na dharau kwa wanaokwenda kumsikiliza
Ni sawa na yule alie kuwa ana jidai kahongwa majogoo barabarani na yeye kumpa zawadi ya mama yake.
Na kuuziwa mahindi ya kuchoma na mtu mwenye bastola kiunoni.
 
Hivi mkuu wewe ndiye Etwege kwa Id tofauti? Maana naona ni kama una viasilia kama vyake
 
Hivi watu wanaoacha shughuli zao na kwenda kumsikiliza Bashite, je wanakuwa ni watu kama wewe mkuu?
 
Hata kama watu hao ni wanandoa kimtazamo tu unawezagundua kuwa kale ka mchezo kalipangwa, hebu tazama baada ya yule mama kujieleza mume alipoitwa haraka akafika na kuanza kujitetea, that was a mission and locally orchestrated, yanataka kurudi yalee ya enzi hizo ni kweli Kuna watu wanashidq zao lakini Kuna drama zinaongezewa
 
Hivi watu wanaoacha shughuli zao na kwenda kumsikiliza Bashite, je wanakuwa ni watu kama wewe mkuu?
Mkuu! Watanzania tuna changamoto nyingi za kimaisha, pale Mtu anapohisi Mtu fulani anaweza kuwa mtatuzi wa changamoto zake ni lazima ataenda tu.
 
Namshauri makoñda awashirikishe akina Gabo, JB Ili kuficha uongo wa wazi hivi kweli kalia njaa ndo apewe milioni 5
 
Ni sawa na yule alie kuwa ana jidai kahongwa majogoo barabarani na yeye kumpa zawadi ya mama yake.
Na kuuziwa mahindi ya kuchoma na mtu mwenye bastola kiunoni.
Huu ni mpango mkakati ambao hautokuwa na tija yoyote kwa CCM kwenye sanduku la kura. Itawabidi watumie mbinu yao ya miaka yote ya wizi na uporaji wa kura na utangazwaji wa matokeo.
 
Hivi kazi ya Katibu Uenezi wa Chama ni zipi labda nisaidie.
Ninavyofahamu kesi za ndoa zinatatuliwa Ustawi wa Jamii.
 
No hizi sio kama zile za tunza za mashosti na mashostito wao kwenye kitchen parties!, hizi ni fedha za kweli zikitoka zimetoka.
P
Kwahiyo viongozi wa CCM wanagawa pesa mabarabarani bila jasho! Hizo pesa ni zake binafsi au za CCM! Huko CCM wanampa pesa za kunigawia mimi nikilia mkutanoni! Unataka kuniaminisha Makonda na CCM wanagawa pesa kwa watu bila watu hao kufanyakazi zaidi ya kulia mikutanoni! Kama hivyo na mimi nitatafuta vijana wa kukimbizana naye mikoani tupate maokoto ya chee, ila ukweli ni siasa za majukwaani ni sawa na filamu za Charie Chaplin.
 
Na hizo drama zipo mpaka huku jf kwenye threads zinazomuhusu makonda,kuna ma agents huku kazi yao ni kuikuza legacy yake na pasipo shaka wanalipwa,huenda anajiandaa kwa 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…