Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

1683960112237.png
 
Kwa mtazamo wangu kufa mapema kuko kwenye kujali sana, mtu anayeoa zaidi ya mke mmoja huyu hajali sana kuhusu yeye mwenyewe ubora wa familia ni carefree, they don't calculate a lot, they just live as per life offers, yule mwenye kaliba inayoweza kumcontrol kuoa wengi ni mtu 'careful' anajali mengi including ubora wa elimu ya watoto, na tabia zao pamoja na welbeing ya mke. Kwa hiyo katika kujali huko anakumbuna na misukosuko na masumbufu yanayomkosesha amani mara kwa mara.

Kwa hiyo ni kujali kwake, si idadi ya wenza.
 
Habari wadau!
Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini
1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure,BP, sukari , pumu n.k
Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k?
2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa MAPEMA na umri mdogo kwanini? ONA utafiti hapa Kisha sema neno

Mkhokheli Ndlovu
Occupation; Farmer
Age: 98
Wife: 6
Children: 47
Grandchildren: 86
Cause of death: Old age

Themba Gumede
Occupation: Carpenter
Age: 115
Wife: 11
Children: 56
Grandchildren: 132
Cause of death: Old Age.

Masauso Banda
Occupation: Tailor
Age: 109
Wife: 4
Children: 38
Grandchildren: 73
Cause of death: Old Age

Dr Benson Dube (Phd)
Occupation: Lecturer
Age: 56
Wife: 1
Children: 2
Grandchildren: 0
Cause of death: High Blood Pressure.

Samuel Julius
Occupation: Bank Manager
Age: 53
Wife: 1
Children; 3
Grandchildren; 0
Cause of death; BP, Sugar

I am not saying anything. It is up to you to give your own interpretation....😃😃😃😃 🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️

Nini maoni yako
Kwahiyo wanawake ndio wameshikilia maisha ya wanaume!! Mbona kama tunabadili uumbaji? Kwahiyo mwanaume ni kitu dhaifu sana kwa mwanamke hata kuweza kuuawa!? Mwanaume mwenyewe hawezi kujipigania anaona afe tu!!?
Acheni kushinikiza mama zetu lawama kwa kila kitu.
Wanaume wengi tuna kazi hatarishi, lakini pia maisha yetu yana vitu hatarishi kwa maisha mf ulevi(usiseme tunaenda kulewa kwa sababu ya mwanamke,tuwajibike kwa tabia hii bila kumhusisha mwanamke),uzinzi(digging graves..) nk...
 
Habari wadau!
Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini
1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure,BP, sukari , pumu n.k
Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k?
2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa MAPEMA na umri mdogo kwanini? ONA utafiti hapa Kisha sema neno

Mkhokheli Ndlovu
Occupation; Farmer
Age: 98
Wife: 6
Children: 47
Grandchildren: 86
Cause of death: Old age

Themba Gumede
Occupation: Carpenter
Age: 115
Wife: 11
Children: 56
Grandchildren: 132
Cause of death: Old Age.

Masauso Banda
Occupation: Tailor
Age: 109
Wife: 4
Children: 38
Grandchildren: 73
Cause of death: Old Age

Dr Benson Dube (Phd)
Occupation: Lecturer
Age: 56
Wife: 1
Children: 2
Grandchildren: 0
Cause of death: High Blood Pressure.

Samuel Julius
Occupation: Bank Manager
Age: 53
Wife: 1
Children; 3
Grandchildren; 0
Cause of death; BP, Sugar

I am not saying anything. It is up to you to give your own interpretation....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] [emoji2097][emoji2097][emoji2097]

Nini maoni yako
[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimekupata
 
Si muoe hata 100, au hamtaki kuishi?

Utafiti unasema ni wawili. Na wanawake wasio mafurushi wanakubali 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Screenshot_20230510_091105_Instagram Lite.jpg

 
SoC03 - Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu naomba kura yako mkuu katika andiko langu
Ushindi hautegemei kura ...

Na mada yako ni kama vile iko nje ya mada kuu ya mwaka huu. Ulizingatia angalizo lao kuwa wanataka mada za aina gani?

Halafu usionekane desperate sana. Nimekuona mpaka kwenye nyuzi za misiba unaomba upigiwe kura andiko lako lishinde. Unaweza ukaishia kuudhi watu tu badala ya kujipa promo.

Relax...na sana sana unaweza kuweka kameseji kafupi kakawa kama signature yako basi.

Kila la heri!
 
Nakubaliana na Mtoa Mada wengi walio kwenye Matala hawafi haraka😊

I've read a bunch of articles about HOW SINGLE MEN DIE FASTER THAN MARRIED MEN OENI JAMANI KUPUNGUZA RATE YA VIFO VYENU WANAUME..yet single WOMEN typically live the same length that married women do🤣🤣🤣👋👋👋

There are a few theories..One is that statistically shorter people live longer than taller people😊

1 - Since men on average are 6 inches taller than women..that would mean men would on average live shorter lives. The working theory is that taller/larger people's hearts have to beat harder to move blood throughout their body..More strain on the heart leads to shorter life

2 - There are a number of diseases that occur more often in men than in women..Or that male only cancers (eg. prostate) are more deadly than women only cancers (eg. breast)

3 - There are a number of genetic disorders that only occur in men..These are genetic defects in the X chromosome that only occur in men..since men only have one X chromosome.. A woman would need to have two defective X chromosomes..which would mean her father would have had the disease..and these diseases tend to kill the men before they can have children🤦

4 - Men also have a higher suicide rate.. It just isn't advertised as much as female suicide is🤦

Mnaojifanya #KATAA NDOA# They also tend to have a tighter social circle..Lonileness is A HIDDEN KILLER🐒🐒🐒👋
 
hahaaa eti ocupation lecture mke mmoja watoto watatu wajukuu hamna ,miaka 56 hata kustaafu hajastaafu kashawahi viwanjani aisee huu ujuaji na usomi koko wakati mwingine unaleta shida mingi sana ndiomaana wale wazee wetu wa zamani shule hamna lakini wamekula chumvi vibayaaaaa yaani mtu ana 80 plus bado anapiga shoo za kibabe vijamaa vya sasahivi hata kugonga haviwezi , mambo haya yanafikirisha sana
 
Back
Top Bottom