Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

Kwa mtazamo wangu kufa mapema kuko kwenye kujali sana, mtu anayeoa zaidi ya mke mmoja huyu hajali sana kuhusu yeye mwenyewe ubora wa familia ni carefree, they don't calculate a lot, they just live as per life offers, yule mwenye kaliba inayoweza kumcontrol kuoa wengi ni mtu 'careful' anajali mengi including ubora wa elimu ya watoto, na tabia zao pamoja na welbeing ya mke. Kwa hiyo katika kujali huko anakumbuna na misukosuko na masumbufu yanayomkosesha amani mara kwa mara.

Kwa hiyo ni kujali kwake, si idadi ya wenza.
 
Kwahiyo wanawake ndio wameshikilia maisha ya wanaume!! Mbona kama tunabadili uumbaji? Kwahiyo mwanaume ni kitu dhaifu sana kwa mwanamke hata kuweza kuuawa!? Mwanaume mwenyewe hawezi kujipigania anaona afe tu!!?
Acheni kushinikiza mama zetu lawama kwa kila kitu.
Wanaume wengi tuna kazi hatarishi, lakini pia maisha yetu yana vitu hatarishi kwa maisha mf ulevi(usiseme tunaenda kulewa kwa sababu ya mwanamke,tuwajibike kwa tabia hii bila kumhusisha mwanamke),uzinzi(digging graves..) nk...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimekupata
 
Habari wadau!
Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini
1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure,BP, sukar...
Mmmmh,๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Si muoe hata 100, au hamtaki kuishi?

Utafiti unasema ni wawili. Na wanawake wasio mafurushi wanakubali ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ


Your browser is not able to display this video.
 
SoC03 - Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu naomba kura yako mkuu katika andiko langu
Ushindi hautegemei kura ...

Na mada yako ni kama vile iko nje ya mada kuu ya mwaka huu. Ulizingatia angalizo lao kuwa wanataka mada za aina gani?

Halafu usionekane desperate sana. Nimekuona mpaka kwenye nyuzi za misiba unaomba upigiwe kura andiko lako lishinde. Unaweza ukaishia kuudhi watu tu badala ya kujipa promo.

Relax...na sana sana unaweza kuweka kameseji kafupi kakawa kama signature yako basi.

Kila la heri!
 
Nakubaliana na Mtoa Mada wengi walio kwenye Matala hawafi haraka๐Ÿ˜Š

I've read a bunch of articles about HOW SINGLE MEN DIE FASTER THAN MARRIED MEN OENI JAMANI KUPUNGUZA RATE YA VIFO VYENU WANAUME..yet single WOMEN typically live the same length that married women do๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹

There are a few theories..One is that statistically shorter people live longer than taller people๐Ÿ˜Š

1 - Since men on average are 6 inches taller than women..that would mean men would on average live shorter lives. The working theory is that taller/larger people's hearts have to beat harder to move blood throughout their body..More strain on the heart leads to shorter life

2 - There are a number of diseases that occur more often in men than in women..Or that male only cancers (eg. prostate) are more deadly than women only cancers (eg. breast)

3 - There are a number of genetic disorders that only occur in men..These are genetic defects in the X chromosome that only occur in men..since men only have one X chromosome.. A woman would need to have two defective X chromosomes..which would mean her father would have had the disease..and these diseases tend to kill the men before they can have children๐Ÿคฆ

4 - Men also have a higher suicide rate.. It just isn't advertised as much as female suicide is๐Ÿคฆ

Mnaojifanya #KATAA NDOA# They also tend to have a tighter social circle..Lonileness is A HIDDEN KILLER๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ‘‹
 
hahaaa eti ocupation lecture mke mmoja watoto watatu wajukuu hamna ,miaka 56 hata kustaafu hajastaafu kashawahi viwanjani aisee huu ujuaji na usomi koko wakati mwingine unaleta shida mingi sana ndiomaana wale wazee wetu wa zamani shule hamna lakini wamekula chumvi vibayaaaaa yaani mtu ana 80 plus bado anapiga shoo za kibabe vijamaa vya sasahivi hata kugonga haviwezi , mambo haya yanafikirisha sana
 
Mwanamke mmoja chenga Sana Kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ