Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

Hivi kuna mwanaume anazuiliwa kuoa? Hata kama kafunga nfoa jana akiamua kesho anaoa.
Ugumu wa maisha ndo unawazuia kuoa
 
NAONA KUNA ukweli ndani ya huu utafiti
 
Mzee mwinyi ameninong'oneza hapa kuwa siri ya kuishi mda mrefu ni kuoa mke zaid ya mmoja--JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ