Mwanamke niliempata mara hii ni kiboko!

Mwanamke niliempata mara hii ni kiboko!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. Yeye akilewa ni amapiano Tu!.

Atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi nakucheza amapiano wapi na wapi!, mshangazi wa watu anacheza mpaka na ile style ya kuchezesha macho!!.

Ye anajua mi najua lakini wapi narukaruka tu nisionekane hamna kitu,hii inakuwa ni changamoto sana kwangu!.. hichi kizazi si wakubwa si wadogo wamevurugwa!

Nilichoamua ni kwenda nae jino kwa jino komamanga wa watu najinoa nami nijue kucheza hizo amapiano nisionekane zwazwa!
 
Kuna muda wa ku undergo hivyo vipimo vyote na watu wapo njwiiii?😆😆 Mfano HPV na G wrats huchukua siku 7 mpaka majibu kutoka maana ni lazima ufanye blood culture if I ain't mistaken.
yes ni lZima blood culture. vijana wanapupia ugwadu 😂 hawakumbuki hayo
 
mvua pichu, hongera kwako.. hayo nayo ni mafanikio.
IMG_20240506_234058.jpg
 
swali kwa swali. ungejibu nimezingatia mkuu. najua ulichozingatia hapo zaidi ni HIV..kuna STDs ni life threatening na ni permanent. anayekueleza haya ni kaka yako malaya mstaafu.
sawa
 
Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!.
yeye akilewa ni amapiano Tu!.
atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi nakucheza amapiano wapi na wapi!, mshangazi wa watu anacheza mpaka na ile style ya kuchezesha macho!!.

ye anajua mi najua lakini wapi narukaruka tu nisionekane hamna kitu,hii inakuwa ni changamoto sana kwangu!.. hichi kizazi si wakubwa si wadogo wamevurugwa!.
nilichoamua ni kwenda nae jino kwa jino komamanga wa watu najinoa nami nijue kucheza hizo amapiano nisionekane zwazwa!
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Tanzania maisha ni mepesi sana
 
Back
Top Bottom