Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

Pole ndugu yangu, Huyo mama uliyetambulishwa ndio aliyechukua mtoto for sure. Mtafute huyo utamkuta naye tu.
 
poole saana ila kisicho riziki hakiliki Mungu atakuletea ambae ni wako
 
Pole ndugu yangu, Huyo mama uliyetambulishwa ndio aliyechukua mtoto for sure. Mtafute huyo utamkuta naye tu.

Mkuu Nimemtafuta Sana Huyu Mama Na Nikaomba Contact Zake Lakini Nahisi Huu Mchezo Walihusishwa Watu Wengi Sana...
 
Hii chai kavu aisee hata hainogi. Impossible mission

Mungu Ndiyo Anajua Hiki Nilichokiandika Ukweli Wake... Lakini Natatizika Kuamini Eti Na Ww Ni Great Thinkerz... Mmezoea Kupuuza Post Za Watu Hata Kama Ni Za Kweli lakini Siwezi Kukulaumu Kwa Kuwa Hapa Ndipo Uwezo Wako Wa Kufikiri Ulipoishia
 
Unachaganya mambo sasa Mimi uwezo wangu umeishia hapa wako uelewa mkubwa mbona hukujitatulia tatizo ukaja jf mwenye uelewa mpana.
 
Unachaganya mambo sasa Mimi uwezo wangu umeishia hapa wako uelewa mkubwa mbona hukujitatulia tatizo ukaja jf mwenye uelewa mpana.

wenye Uelewa Mpana Wamenishauri Vizuri na Nimewaelewa, Lakini Wachache Waliochini Ya Hapo Ndiyo Wanafikiri Hii Asali.... Mungu Anasimama na Mimi Kwenye Andishi Hili Mkuu...
 
Ila kuna watu wana courage, wewe unamkuta tu mtu sehemu usiku kama huo; Humjui, hakujui, unamkokota mpaka home halafu unafanza nae mambo. Kweli watu tunatofautiana!.
Mkuu haya mambo yanatokea, mimi nilishawahi kufanya kitu kama hicho, ilikuwa mwaka 1994, niliwahi kukutana na Dada mmoja barabarani usiku wa manane peke yake nikamchukua mpaka home, nikalalanaye, kwa kweli sikuwahi kumuona tena. Hii inatokeaga.
 
mmmmh kweli huyo jini
umempatia alichokitaka may be alikua anahitaji azae na binadamu hahaaaa we sahau tu
 
Back
Top Bottom