toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Namuonea huruma mwanao aina ya mama uliemchagulia.
We unafikiri kukaa nyumban kazi mdogo afu uku una mtoto ??babayake anajitahd ngekuwa mimi ungempangia hata nyumba au umchukue mwanao unaleta ubahili usio na msingi wakati kiuno ulikuwa unakatija kwa raha na unashindilia mbegu zote bila kuwaza mbeleNaona unapigilia msumari..! Ila kusema ukweli nahudumia ila biashara na Kumangishia itafanyika kama kuna huo ulazima. Anakaa kwao alfu yeye anajipiga kifua kwenda kupanga so mie nifanye nini.! Mmh
Baby mama wangu alipojifungua nilitia pesa sana tu kama wewe nilikuja kugundua kua mahitaji yanatakiwa kuwa kwao wote sababu wanatengemeana (mama na mtoto)
Hivyo nilimtengenezea mtoto bima ya afya then nikampa mama yake mtaji wa kutosha na kulipia chumba na vitu basic vya kuazia maisha
Nilifanya hvyo just incase nikawa bankrupt au nikafariki wanaweza kujitegemea , kwa sasa she’s doing great almost 4 years sasa hv tunachanga tu ada ya shule ya mtoto 50/50
Utaratibu wa kumwona ni muda wwte nnaotaka sometimes pia anamleta mwenyewe nakaa nae likizo fupi na tuko peace kila mtu ana mahusiano yake and life goes on
Umefanya yaliyo sahihi..hongeraBaby mama wangu alipojifungua nilitia pesa sana tu kama wewe nilikuja kugundua kua mahitaji yanatakiwa kuwa kwao wote sababu wanatengemeana (mama na mtoto)
Hivyo nilimtengenezea mtoto bima ya afya then nikampa mama yake mtaji wa kutosha na kulipia chumba na vitu basic vya kuazia maisha
Nilifanya hvyo just incase nikawa bankrupt au nikafariki wanaweza kujitegemea , kwa sasa she’s doing great almost 4 years sasa hv tunachanga tu ada ya shule ya mtoto 50/50
Utaratibu wa kumwona ni muda wwte nnaotaka sometimes pia anamleta mwenyewe nakaa nae likizo fupi na tuko peace kila mtu ana mahusiano yake and life goes on
pole jmnYaani toka ilipotokea hii sifanyi peku labda kwabMke mtarajiwa..! Yaani ningenunua mpira wa Buku ungeniokoa na hii tabu.
Ila mademu wanajilengeshaga sana, alikataaga kuvaa mpira akasema hatafeel utamu nikamula kavukavuvbaada muda naambiwa habari zatu anatapika sijui imekaaje kaaje. Ila sawa bhana..! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
pole jmn
Ila mwanzo zilikuwepo?Sina hisia tena naye..! Bora ibaki hivyo hivyo
Ila mwanzo zilikuwepo?
Tusiwatende hawa viumbe hivi wana moyo pia
Nina huruma na hawa viumbe wadhaifu even if walishawahi niumiza lakini mimi nawaonea tu hurumaHisia hazilazimishwi mkuu ??
NakupendaNa pia inawezekana anahitaji umpangie nyumba kwa sababu labda huko nyumbani wanamnyanyapaa kuzalia nyumbani kitu ambacho kinamuathiri kisaikolojia jambo ambalo litampelekea kushindwa kulea mtoto vizuri.Imagine Mama ana depression,maana yake hata maziwa yatakuwa hayatoki vizuri na pia kila saa atakuwa na hasira na mtoto.
Basis usingesex nae kabisaHisia hazilazimishwi mkuu ??
Basis usingesex nae kabisa
Nina huruma na hawa viumbe wadhaifu even if walishawahi niumiza lakini mimi nawaonea tu huruma