Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

Naona unapigilia msumari..! Ila kusema ukweli nahudumia ila biashara na Kumangishia itafanyika kama kuna huo ulazima. Anakaa kwao alfu yeye anajipiga kifua kwenda kupanga so mie nifanye nini.! Mmh
We unafikiri kukaa nyumban kazi mdogo afu uku una mtoto ??babayake anajitahd ngekuwa mimi ungempangia hata nyumba au umchukue mwanao unaleta ubahili usio na msingi wakati kiuno ulikuwa unakatija kwa raha na unashindilia mbegu zote bila kuwaza mbele
 
Mm nilikuwa na changamoto kama hiyo yako....ilifikia kipindi nikatibuana kbsa na mzaz mwenzangu...alinishutumu sana ila baada ya kuona nimekaza miez zaid ya 6 alijirud mwenyewe

Nikakaa nae chini na kumwambia mtoto anahitaji vitu vya msingi vitatu tu...ELIMU,AFYA NA MALEZI(chakula,nguo,etc)...nikamwambia hvyo vipengele vya elimu na afya aniachie mm ntadeal navyo 100%..ila upande wa MALEZI ni wake...mm ntakuwa na chip in mara 1 1...sa hv mambo yanaenda fresh kbsa
 
Baby mama wangu alipojifungua nilitia pesa sana tu kama wewe nilikuja kugundua kua mahitaji yanatakiwa kuwa kwao wote sababu wanatengemeana (mama na mtoto)

Hivyo nilimtengenezea mtoto bima ya afya then nikampa mama yake mtaji wa kutosha na kulipia chumba na vitu basic vya kuazia maisha

Nilifanya hvyo just incase nikawa bankrupt au nikafariki wanaweza kujitegemea , kwa sasa she’s doing great almost 4 years sasa hv tunachanga tu ada ya shule ya mtoto 50/50

Utaratibu wa kumwona ni muda wwte nnaotaka sometimes pia anamleta mwenyewe nakaa nae likizo fupi na tuko peace kila mtu ana mahusiano yake and life goes on
 
Mie siwezi mpa mtaji hata siku moja.! Nitakata Bima ya mtoto na si vingine. Ahsantee kwa ushauri wako
 
Baby mama wangu alipojifungua nilitia pesa sana tu kama wewe nilikuja kugundua kua mahitaji yanatakiwa kuwa kwao wote sababu wanatengemeana (mama na mtoto)

Hivyo nilimtengenezea mtoto bima ya afya then nikampa mama yake mtaji wa kutosha na kulipia chumba na vitu basic vya kuazia maisha

Nilifanya hvyo just incase nikawa bankrupt au nikafariki wanaweza kujitegemea , kwa sasa she’s doing great almost 4 years sasa hv tunachanga tu ada ya shule ya mtoto 50/50

Utaratibu wa kumwona ni muda wwte nnaotaka sometimes pia anamleta mwenyewe nakaa nae likizo fupi na tuko peace kila mtu ana mahusiano yake and life goes on
Umefanya yaliyo sahihi..hongera
 
Yaani toka ilipotokea hii sifanyi peku labda kwabMke mtarajiwa..! Yaani ningenunua mpira wa Buku ungeniokoa na hii tabu.
Ila mademu wanajilengeshaga sana, alikataaga kuvaa mpira akasema hatafeel utamu nikamula kavukavuvbaada muda naambiwa habari zatu anatapika sijui imekaaje kaaje. Ila sawa bhana..! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
pole jmn
 
Na pia inawezekana anahitaji umpangie nyumba kwa sababu labda huko nyumbani wanamnyanyapaa kuzalia nyumbani kitu ambacho kinamuathiri kisaikolojia jambo ambalo litampelekea kushindwa kulea mtoto vizuri.Imagine Mama ana depression,maana yake hata maziwa yatakuwa hayatoki vizuri na pia kila saa atakuwa na hasira na mtoto.
Nakupenda
 
Nina huruma na hawa viumbe wadhaifu even if walishawahi niumiza lakini mimi nawaonea tu huruma

Hongera Mkuu kwa kuwa na huruma, mimi siwezi sapoti upuuzi. Mtu unaambiwa tutumie mpira hutaki unasema hutahisi utamu na baadae namwambia meza P2 analeta habari za ajabu oooh sijui zinasabbaisha saratani ya Kizazi nikamwambia Fresh...! Hivyo asinipelekeshe kutoa kile ambacho siwezi toa.
 
Kwa experience niliyonayo kutoka kwa watu tofauti...aisee single mother almost 98% ni wakorofi sana na ndo maana wanaume waliozaa nao wameshindwa kuwaoa..wengi ni viburi,wahuni,wagomvi n.k
 
Back
Top Bottom