Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

Ole wako
Yaani ole wako nikute umesimulia tulivyokutana

My life is mine to remember
 
Tulikutana chuo, mpaka Nakuja kumaliza chuo Nina na mtoto...ndoa ikaja miaka mitano baadae. Yaani formula haikufuatwa kabisa Ila Ndio maisha.
 
unawashaur nin wanaoenda kuombewa kwa akina Gwajima??

unajua unakuta mtu anaenda kuombewa pale afu anarudi nyumbani anajifungia, haongei na watu, hasocialise, sijui hapo inakuweje aisee maana hata Mungu anashindwa. Ukikonyezwa, ukichekewa, ukiombwa namba unakemea mapepo. keep in touch with friends, socialise na marafiki wa marafiki zako huwezi jua. Mungu anapanga, si tumalizie.
 
Wanawake hupata wanaume wa kuwaoa kwa njia mbalimbali kama vile:
1.ulimpa tunda kimasihara baadae akawa mmeo
2.ulienda kuombewa kwa mchungaji
3.ulitafta mtandaon
4.alikuwa mwalimu wako darasan
5.alikuwa mpangaji
mwenzio
6.alikuchumbia
Wanawake karibun mtaje njia mlizotumia kuwapata wanaume zenu ambao wamewaoa na mnafamilia kabisa
Binafsi tulikutana nyumbani kwa mchungaji ilituchukua miezi kadhaa kuingia kwenye mahusiano mpaka kufikia ndoa ilituchukua miezi saba tu na sasa tuna mwaka na nusu toka tumefunga ndoa na hivi karibuni tunategemea kupata mtoto
 
Back
Top Bottom