brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
mchawi sio lazma avae matunguli
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchawi sio lazma avae matunguli
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji28][emoji28][emoji28]utampeperushia ndege wake huoni mwenzio yupo mawindoni jamani [emoji23][emoji23]
hakunaga watu single.. wengi wapo taken but constantly looking for a better partner than the one they have, ndo mana wakifika kwenye social media hujitangaza wapo single.Huku jukwaani wenye ndoa sizani kama wanazidi wanne!
Humu kila mtu yuko single kama wewe! Hata mie niko single na karibu 90% ya wote humu ndani ni masingle!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeolewa mpendwa humu humu ila mke wa pili
ha ha ha mbona unajibu kinyonge hivyo?Nimeolewa mpendwa humu humu ila mke wa pili
Sikuzote mkia hauwezi ukatikisa ng'ombe, bali ng'ombe ndie hutikisa mkia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeolewa mpendwa humu humu ila mke wa pili
hongera sana..na imagine ndoa yenu iko na amani na furaha sana coz umeolewa na mtu anaekupenda haswaa.Mume wangu nlimpata siku ya graduation yangu ya form six, alikuja kwa ajili ya graduation ya mdogo wake ambae nilijua nahitimu nae.Safari yetu ya mapenzi ilianzia palé japo sikua naamin kama ana future na mim kwa kua alikua kashamaliza chuo na kazin alikua na miaka miwili. Nkiwaza huenda ana mtu wake wa permanent hivyo anataka anipitie na kuondoka. Nlianza kuamin baada ya mim kukosa mkopo wa helsb akasema atanisomesha kwa kunilipia gharama zote za chuo kwa shart moja tu kua nimuhakikishie sina mtu ambae ana malengo na mim,na alisema ikiwezekana anioe kwanza ili ajihakikishie. Wazo la kuolewa kabla ya kumaliza chuo nlikataa akasema bas aruhusiwe kwenda kujitambulisha na kulipa mahari,alifanya hivyo,safar ikaendelea ila nlivyofika second year tulifunga ndoa kutokana na yeye kukosa aman kua huenda nisiolewe nae.. Hiyo ndo Ilikua safari yangu ya kupata mume wangu wa maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mimi sio hivyo mume niliyenaye nimefunga harusi kanisani nanibaada ya mwanaume kutelekezwa na mke .Hivi wanawake mnakuwa na akili gani mpaka mnakubali kushare dushelele tena bila hata haibu?
Ni kweliii majini yenyewe yapo njee licha wanadamu.unajua unakuta mtu anaenda kuombewa pale afu anarudi nyumbani anajifungia, haongei na watu, hasocialise, sijui hapo inakuweje aisee maana hata Mungu anashindwa. Ukikonyezwa, ukichekewa, ukiombwa namba unakemea mapepo. keep in touch with friends, socialise na marafiki wa marafiki zako huwezi jua. Mungu anapanga, si tumalizie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumiss mnooh mamaahWapi mlikutana kwenye daladala la Buza huko[emoji3]
Wasikate tamaa na wasiwe na haraka maana wakati wa Mungu hauchunguzi kiHongeren sana jaman!! ambao hawajapata mme unawashauri nin??