Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

Zipo nguvu zinazowasukuma watu kuingia kwenye ndoa kuna nguvu za kudumu na nguvu za mda mfupi. Hizi nguvu ndio uamua ndoa idumu kwa mda gani. Baadhi ya nguvu ni kama
1.Tamaa ya ngono hapa nyege zikiisha na ndoa imeisha
2.Tamaa ya mali kama alifata mali na akapata mali hitaji lake limeisha na ndoa imeisha
3.Kupata watoto .hapa me au mke akishapata watoto hana tena time na mwenza wake anachojali tu ni watoto wake.
4.Upendo hapa kama upo wa kweli ndoa haishi
5.Tamaa ya Harusi, wapo wenye ndoto tu za kufunga ndoa na kufanya sherehe basi mengine baada ya sherehe kwake ni mzigo. Hizi ndio zile ndoa za wiki, mwezi, miezi then chali.
6.Kupata mtu wa kumlea yaani akitimiziwa tu majukumu yake hapa mwenza akifilisika tu na ndoa chali
7.Maslai hapa ni tamaa ya mali, maumbile mfano tako, chuchu, six pack, english figure nk so mtu akipata dosari ya kimwili mfano ajali, kunyonyesha badala ya msumari zinakuwa chapati, ndoa imekubali english figa imekuwa 10 figa, tako SAwa na tumbo, six pack kwisha umri umesonga .... Chali.
So wengi awafahamu hasa nini maana ya ndoa. Umasikini ndio driving factor iwasukumao wanawake wengi kuingia kwenye ndoa na si kwamba wanajua nini maana ya ndoa baada ya ndoa umasikini ukiisha heshima na utii nao uisha, heshima na utii uzaa upendo. Hakuna Mwanaume anaweza mpenda mke asiyeheshimu na kumtii labda afeki.
 
Safi kijana na umeeleweka.

Na log off Z
 

Noma sana
 
Inawezekana wanawake ndo wapumbavu au vijana ndo wamekosa uwezo wa kifedha na mbinu za kuishi na mke. Sababu yoyote ile matokeo si sawa kwa watoto wa malezi ya upande mmoja. Vijana watakaozaa watoto wa kiume bila kuwa sehemu ya malezi na bila kuwa makini na uchaguzi wa mama bora watakuwa na watoto wa kiume wenye ukike na wa kike wenye udangaji. Hili tatizo litaendelea kuwa kubwa sababu more single mothers wa hovyo watalea watoto wa hovyo, watoto wa hovyo watakua wakubwa nao wataendeleza akili za hovyo hivyo hivyo nakuendelea.
 

Ni kweli kabisa.

Lakini ni Bora hivyo kuliko Kupiga magoti mbele ya mwanamke
 
Reactions: Tsh
Why keep a cow if you can buy milk?
 
Ni kweli kabisa.

Lakini ni Bora hivyo kuliko Kupiga magoti mbele ya mwanamke
Hakuna wanawake kabisa ambao hata kama umerudi na elfu mbili nyumbani atakupokea na kukuandalia maji ya kuoga huku akikuombea kwa MUNGU wake kesho upate kikubwa? Wameisha? Kama hakuna basi sisi wa miaka ya nyuma kidogo tuna bahati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…