ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ndo maisha ambayo Mimi naishi na nayapenda ila maza anataka apate michango ya harusi aliyochangia wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unaishije na mtoto wa watu kabla haujafunga ndoa?
Ukosefu wa adabu, na ndio maana ndoa nyingi zinakufa mapema na hazina maadili. So si kitu kizuri cha kufurahia hata kidogo. Imagine mtoto wako kavushwa na msela unajisikiaje kama mzazi?Njoo mjini hilo linawezekana kabisa.
Kwani umemlazimisha?
Kwani yupo under 18?
Watu wanatoka Nchi moja kwenda nchi nyingine kuishi na wanawake au wanaume na hakuna mambo hayo ya wazazi wewe upo dunia IPO Mkuu?
Kizamani/ kiutamaduni haipendezi kuishi kimahusiano bila ya kujua wazazi wake, lakini Kisasa au kiutandawazi Hilo ndilo linatokea Kwa waliowengi Mijini
Weka hoja! Tulia acha wenge, pangilia hoja zako! Using'ate meno, bora ukimbie!Mleta mada nawapa pole wazazi wako
Dume zima kutwa kuongelea wanawake
najua kwa nini unapiga vita wanawake kufunga ndoa unawaonea wivu kwa sababu uzijuazo hutaki wafunge ndoa ili mapenzi ya jinsi moja yaendelee !!!
Mashoga ya kiume huwa yana wivu na hasira na wanawake na kutwa huwasema wanawake
Ukiwaona wazazi wako waambie pole kukuzaaa
Mtoto amtoe wapi huyo? Kutwa anawasema wanawake tu ana mtoto huyo? Wala hata hatarajii na hawezi kuzalisha mtu huyo kwa jinsi alivyoUkosefu wa adabu, na ndio maana ndoa nyingi zinakufa mapema na hazina maadili. So si kitu kizuri cha kufurahia hata kidogo. Imagine mtoto wako kavushwa na msela unajisikiaje kama mzazi?
Inasikitisha sana, amekuwa na negativity nyingi sana kwa hawa mama zetu. Wanawake waheshimiwa, mwanamke analindwa na mwanaume. Wanaume wengi wanajivua majukumu yao, wanabaki kupiga ukunga tuMtoto amore wapi huyo? Kutwa anawasema wanawake tu ana mtoto huyo? Wala hata hatarajii na hawezi kuzalisha mtu huyo kwa jinsi alivyo
Ukosefu wa adabu, na ndio maana ndoa nyingi zinakufa mapema na hazina maadili. So si kitu kizuri cha kufurahia hata kidogo. Imagine mtoto wako kavushwa na msela unajisikiaje kama mzazi?
Mleta mada nawapa pole wazazi wako
Dume zima kutwa kuongelea wanawake
najua kwa nini unapiga vita wanawake kufunga ndoa unawaonea wivu kwa sababu uzijuazo hutaki wafunge ndoa ili mapenzi ya jinsi moja yaendelee !!!
Mashoga ya kiume huwa yana wivu na hasira na wanawake na kutwa huwasema wanawake
Ukiwaona wazazi wako waambie pole kukuzaaa
Weka hoja! Tulia acha wenge, pangilia hoja zako! Using'ate meno, bora ukimbie!
Jambo zuri ni kwamba wote haiwezekani kuishi katika fikra kama zako. Bado wapo watu wanao heshimu ndoa, wanaheshimu miiko, wenye adabu wenye kufata misingi yote ipaswayo kufatwaNdio dunia ya sasa ilipofikia.
Wewe ukileta adabu kuzimu si utachekwa.
Ukishabomoa misingi ya nyumba tarajia kuta Kuota nyufa na nyumba kuanguka
Jambo zuri ni kwamba wote haiwezekani kuishi katika fikra kama zako. Bado wapo watu wanao heshimu ndoa, wanaheshimu miiko, wenye adabu wenye kufata misingi yote ipaswayo kufatwa
Mleta mada nawapa pole wazazi wako
Dume zima kutwa kuongelea wanawake
najua kwa nini unapiga vita wanawake kufunga ndoa unawaonea wivu kwa sababu uzijuazo hutaki wafunge ndoa ili mapenzi ya jinsi moja yaendelee !!!
Mashoga ya kiume huwa yana wivu na hasira na wanawake na kutwa huwasema wanawake
Ukiwaona wazazi wako waambie pole kukuzaaa
Endeleeni kushikwa masikio ivyo ivyo mpaka kifo kiwatenganisheNaitwa Ncha Kali, napiga simu kutoka Kizwite kwenye msafara wa Mbio za Mwenge….. nauliza je sisi tuliojisahau tukaoa kwa kushikwa masikio tufanyeje?
Humu jukwaani tumeshakuelewa wewe ni mtu wa aina gani !!! Pole kwa wazazi wako kukuzaa .Kama ulirithi ushoga kutoka Kwa Babaako usidhani kila mtu anatabia zenu.
Humu jukwaani tumeshakuelewa wewe ni mtu wa aina gani !!! Pole kwa wazazi wako kukuzaa .
Nifikishie pole zangu kwao hasa mamaako mzazi mpe pole sana kubeba zigo la wewe miezi tisa akija kabeba mimba ya maana kumbe kabeba shoga
Akishindwa nipo mimiOmba talaka uje tuishi
Kikubwa tusichungane kama mbuzi