Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Robert upo sahihi 100% mimi wacha nitoe kaushuhuda kidogo ambacho kanawaweza kumsaidia mtu mmoja hapa,...
Mimi kabla ya ndoa nilikuwa mtu wa wanawake sana tu toka nipo chuoni hapo udsm Tanzania nilikuwa na ushawishi mkubwa sana nikikutana na mwanamke yoyote nayemtaka simkosi ila baadae nikaanza kuona hiyo hali inanichosha kutokana majukumu yangu kuwa mengi so niliamua kutaka kuoa, Ilinichukua miaka 6 kuishi na binti ambaye kwasasa ni mke wangu rasmi wa ndoa .. katika mkakati wangu wa Kuoa nilitumia vipengele vyangu vinne ambavyo nilivitumia kumpima niliyekuwa naishi naye kwa muda huo wa miaka 6 na nilipojiridhisha kabisa kiroho na kimwili ndio nikaamua kumuoa na hakika namshukuru Mungu kwasasa nafurahia Ndoa tukiwa na watoto wawili hapa Canada na sijutii kwa uamuzi niliouamua.
N:B Kabla hujaamua kuoa binti wa watu pitia hivi vipengele vinne kuweza kupima kama wewe na huyo unayesema unampenda mtawezana au laa.. hii ni muhimu kwa maslahi mapana ya familia yako na kizazi chako kijacho la sivyo utajikuta unateseka sana na mambo ambayo toka mwanzo msingi wake haukuzingatiwa. Kumbuka NDOA ni complicated thing maana mwanzilishi wa ndoa ni Mungu mwenyewe pale Eden (Wakristo wanaelewa)
1. Spiritual Fitness(Wewe unaamini nini na yeye Anaamini nini? uelewa wako na wake kuhusu mambo ya kiroho na imani kwa ujumla upoje n.k)
2. Mental Fitness(Afya ya akili yake ni ya kiwango gani,? Ufahamu, Hekima na Maarifa kati yako na yeye upoje? Uwezo wenu wa kuyatafsiri mambo, kuchambua mambo na kutafuta suluhisho bila kukinzana upoje? n.k)
3. Physical Fitness (Uimara wa afya miili yenu ipoje? Afya ya uzazi je ? magonjwa ya kurithi n.k?
4. Social Interaction Fitness(Uwezo wenu wa kuwasiliana upoje? Uwezo wenu wa kuhusiana na watu wengine upoje? n.k)
Baada ya hayo yote usiche maombi kumruhusu Mungu akupe malekezo ya maamuzi yako na hakika Mungu ni mwaminifu atakujibu kama alivyonijibu, sikumpa taarifa kabla ila ilipofika siku ya siku nikamwambia mama wiki ijayo naenda kwenu kutoa mahari nimalize hii project ilikuwa ni suprize kwenye maisha yake maana sikuwahi kueleweka kama namuoa au simuoi maana hata wakati nipo naye nilikuwa na wanawake wengine wengi tu ila baada ya kupima wanawake wote niliokuwanao wakati huo nikaona credits nyingi zinabaki kwake mpaka sasa hata tabia za kungonoka na wanawake wengine nimeacha.
So kuishi na mwanamke bila ndoa inasaidia japo si kwa kiwango cha uhakika kiasi hicho, maana wote wawili mnakuwa mnacheza kwenye line ya destruction lolote linaweza kutokea anytime with no guarantee, hakuna mjanja wa ndoa na mahusiano ni MUNGU tu. Mungu awabariki.
Kuna mdogo wangu mmoja alitamani kuoa nikamsii sana ,,maana najua hana kazi wala kipato cha maana nikamwambia atafute kazi kwanza akae sawa kiakili na kiafya ndipo aoe ,,akaona Mimi mshauri mbaya ,,kaoa kimya kimya asieee moto anauona ,,.Juzi kati mke wake akutwa kwenye geto la mwanaume mwingine tena Ni jilani na wanapo kaa yaani pua na mdomoKwema Wakuu!
Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa?
Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa.
Angalau ndoa za Kiislam, hizi kidogo kulingana na sheria za kiislam Mwanaume anapata Faida.
Kimsingi unalazimishwa kufunga ndoa na Mwanamke ili uachiwe majukumu Rasmi ya kumtunza Mwanamke utakayemuoa, hii ni Kwa Wakristo. Wanasema kuachiwa Zigo la misumari. Wanaume wa Mijini wengi wanalijua Jambo hili fika.
Sio kwamba unapoambiwa Uoe wanakutakia Mema,[emoji3][emoji3] hapana Ila wanajaribu kukupa majukumu ili uhenyeke na ule Kwa jasho zaidi Kwa kutunza Mwanamke. Hilo sio shida, kwani ni sehemu ya MAJUKUMU ya mwanaume.
Shida inaanzia pale ambapo huna kazi ya uhakika hivyo kipato chako kina hang hang siku zingine ukose kabisa.
Kwa Dunia ya sasa ilivyo haribika, wanawake walivyokuwa na tamaa na vitu vizuri. Ninakushauri USIOE Kama hauna kipato cha uhakika. Ni akheri uishi na Mwanamke kinyumba hivyohivyo hii itakuwa na faida upande wako.
Siku utakayomuoa mke wako hasa ndoa ya Kikristo ndio siku ambayo amechukua Ubingwa na yeye ndiye mshindi. Zingatia, wanawake wengi siku hizi 90% hawajaolewa wakiwa na bikra zao. Hii ni kumaanisha wapo waliokutangulia aliokuwa anawapenda zaidi yako.
Usijekudanganywa, hakuna mapenzi ya dhati yatakayozidi First Love, wahenga walisema First love ndio True Love.
Wanaume ambao wanaishi na Wanawake bila ya ndoa ndio wanafuraha na kuheshimiwa na wake zao ukilinganisha na Wale Waliooa. Unajua ni Kwa nini?
Kwa sababu mwanamke ili akuheshimu anatakiwa Ajue kuwa Unaouwezo wa kumuacha muda wowote na kuwa na Mwanamke mwingine. Na wala usiathirike Kwa lolote katika maisha yako.
Wanawake wengi wa kiislam ni submissive Kwa waume wao Kwa sababu wanajua muda wowote wanaweza kupewa Talaka na mume akaoa mke mwingine au kuongeza mke mwingine.
Mwanaume aliyekomaa na aliyefunzwa vizuri akahitimu Mafunzo lazima ampe mwanamke uhakika wa mambo Kama mavazi, chakula na Huduma zingine lakini amnyime mwanamke uhakika wa kuwa Naye Saima, hii itamfanya mwanamke aonyeshe juhudi ili aendelee kuwapo katika Ndoa.
Ni kosa la kiufundi kumpa uhakika na kumfanya mwanamke ajione kwake ndio umefunga Break, yaani huna uwezo wa kupata mtu mwingine. Hapo utakuwa umefanya makosa makubwa Sana.
Taikon huwa nasemaga, kabla hamjafika mbali kwenye Relationship ni lazima umwambie mwanamke kuwa hupendi mambo ya kipuuzi, na kamwe hutovumilia. Ajue kuwa akianza mambo ya umalaya Kwa Aina zake hautokuwa na muda wa kujadiliana Naye kuhusu huo upuuzi. Akianza mambo ya ushirikina na Uchawi Ajue kuwa hutokuwa na nafasi ya kumsamehe. Na akileta ujeuri na Dharau za kipuuzi utafukuza mapema bila ya kikao Wal mjadala.
Mwanamke Ajue kuwa unauwezo wa kumuacha muda wowote akikosea hasa makosa ya kipuuzi.
Mwanamke Ajue kuwa wewe ni mwanaume mwenye msimamo ambaye huna wakukushauri sio Wazazi wako sio viongozi wa dini sio yeyote. Hii itamfanya yeye ndiye awe makini kuwa mshauri wako. Na akiharibu Ajue kuwa hakuna wa kukushauri.
Vijana, kama huna kazi ya uhakika, na flow yako ya kipato bado haieleweki. Nakushauri USIOE. Ishi na Mwanamke tu angalau miaka hata kumi na mitano hivi, kama atakuvumilia Sawa akishindwa apite Kushoto. N hii uitumie zaidi Kwa wanawake wasomi au wenye Usasa au wanaovutiwa na Dunia ya Sasa.
Vinginevyo utateseka, Wewe uliona wapi mwanaume ambaye hajaoa akiteseka? Uliona wapi mambo hayo?
Ndoa ni muhimu Sana lakini umuhimu huo upo zaidi Kwa wanawake kuliko Wanaume.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kuna mdogo wangu mmoja alitamani kuoa nikamsii sana ,,maana najua hana kazi wala kipato cha maana nikamwambia atafute kazi kwanza akae sawa kiakili na kiafya ndipo aoe ,,akaona Mimi mshauri mbaya ,,kaoa kimya kimya asieee moto anauona ,,.Juzi kati mke wake akutwa kwenye geto la mwanaume mwingine tena Ni jilani na wanapo kaa yaani pua na mdomo
Jamaa anashinda analia kama mtoto..
Kwani hata anaelewa kimemkuta nini yaani kawa kama amevurugwa aelewi juu ya mke wake ,,ndugu wameingilia kati wamewakalisha kikao ila binti inaonekana pasua kichwa ,,Jamaa anatoka kwenye mihangaiko huko anaanza kuwasha moto atenge maji ya kuoga na demu wake yupo tu,,,hua nacheka tu sina chakufanya maana kama ushauri nilisha toa[emoji1][emoji1][emoji1]
Dogo akiulizwa anasemaje?
Nakubaliana na wewe! NinachokijuaUmasikini ndio unaowasukuma wanawake wengi kuingia kwenye ndoa na shida zao zikiisha tu heshima na utii navyo vinaisha.
Pole yake! Maisha ya ndoa ni mashenji!! (Ya ajabu)Mnapewa cheti kwanza kisha ndo mnaenda kwenye mtihani! Usije ukalewa ukachukua single mother utajuta!Kwani hata anaelewa kimemkuta nini yaani kawa kama amevurugwa aelewi juu ya mke wake ,,ndugu wameingilia kati wamewakalisha kikao ila binti inaonekana pasua kichwa ,,Jamaa anatoka kwenye mihangaiko huko anaanza kuwasha moto atenge maji ya kuoga na demu wake yupo tu,,,hua nacheka tu sina chakufanya maana kama ushauri nilisha toa
Usipozaa wewe watazaa wenzioNasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)
Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)
NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER" Na, Robert Heriel Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume. Sisi wanaume hatuna muda wa kuwaza mambo ya mimba ambayo hayatuhusu Kwa watu ambao hatujawaoa. Ndio maana hata...www.jamiiforums.com
mkuu sijui kama unakumbuka mnyongoroto unaouzalisha hapa.
Lete Mgunda..Mlete mzungu.....
Hapa uliongea ukweli mchungu.Kwema Wakuu!
Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa?
Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa.
Angalau ndoa za Kiislam, hizi kidogo kulingana na sheria za kiislam Mwanaume anapata Faida.
Kimsingi unalazimishwa kufunga ndoa na Mwanamke ili uachiwe majukumu Rasmi ya kumtunza Mwanamke utakayemuoa, hii ni Kwa Wakristo. Wanasema kuachiwa Zigo la misumari. Wanaume wa Mijini wengi wanalijua Jambo hili fika.
Sio kwamba unapoambiwa Uoe wanakutakia Mema,😀😀 hapana Ila wanajaribu kukupa majukumu ili uhenyeke na ule Kwa jasho zaidi Kwa kutunza Mwanamke. Hilo sio shida, kwani ni sehemu ya MAJUKUMU ya mwanaume.
Shida inaanzia pale ambapo huna kazi ya uhakika hivyo kipato chako kina hang hang siku zingine ukose kabisa.
Kwa Dunia ya sasa ilivyo haribika, wanawake walivyokuwa na tamaa na vitu vizuri. Ninakushauri USIOE Kama hauna kipato cha uhakika. Ni akheri uishi na Mwanamke kinyumba hivyohivyo hii itakuwa na faida upande wako.
Siku utakayomuoa mke wako hasa ndoa ya Kikristo ndio siku ambayo amechukua Ubingwa na yeye ndiye mshindi. Zingatia, wanawake wengi siku hizi 90% hawajaolewa wakiwa na bikra zao. Hii ni kumaanisha wapo waliokutangulia aliokuwa anawapenda zaidi yako.
Usijekudanganywa, hakuna mapenzi ya dhati yatakayozidi First Love, wahenga walisema First love ndio True Love.
Wanaume ambao wanaishi na Wanawake bila ya ndoa ndio wanafuraha na kuheshimiwa na wake zao ukilinganisha na Wale Waliooa. Unajua ni Kwa nini?
Kwa sababu mwanamke ili akuheshimu anatakiwa Ajue kuwa Unaouwezo wa kumuacha muda wowote na kuwa na Mwanamke mwingine. Na wala usiathirike Kwa lolote katika maisha yako.
Wanawake wengi wa kiislam ni submissive Kwa waume wao Kwa sababu wanajua muda wowote wanaweza kupewa Talaka na mume akaoa mke mwingine au kuongeza mke mwingine.
Mwanaume aliyekomaa na aliyefunzwa vizuri akahitimu Mafunzo lazima ampe mwanamke uhakika wa mambo Kama mavazi, chakula na Huduma zingine lakini amnyime mwanamke uhakika wa kuwa Naye Saima, hii itamfanya mwanamke aonyeshe juhudi ili aendelee kuwapo katika Ndoa.
Ni kosa la kiufundi kumpa uhakika na kumfanya mwanamke ajione kwake ndio umefunga Break, yaani huna uwezo wa kupata mtu mwingine. Hapo utakuwa umefanya makosa makubwa Sana.
Taikon huwa nasemaga, kabla hamjafika mbali kwenye Relationship ni lazima umwambie mwanamke kuwa hupendi mambo ya kipuuzi, na kamwe hutovumilia. Ajue kuwa akianza mambo ya umalaya Kwa Aina zake hautokuwa na muda wa kujadiliana Naye kuhusu huo upuuzi. Akianza mambo ya ushirikina na Uchawi Ajue kuwa hutokuwa na nafasi ya kumsamehe. Na akileta ujeuri na Dharau za kipuuzi utafukuza mapema bila ya kikao Wal mjadala.
Mwanamke Ajue kuwa unauwezo wa kumuacha muda wowote akikosea hasa makosa ya kipuuzi.
Mwanamke Ajue kuwa wewe ni mwanaume mwenye msimamo ambaye huna wakukushauri sio Wazazi wako sio viongozi wa dini sio yeyote. Hii itamfanya yeye ndiye awe makini kuwa mshauri wako. Na akiharibu Ajue kuwa hakuna wa kukushauri.
Vijana, kama huna kazi ya uhakika, na flow yako ya kipato bado haieleweki. Nakushauri USIOE. Ishi na Mwanamke tu angalau miaka hata kumi na mitano hivi, kama atakuvumilia Sawa akishindwa apite Kushoto. N hii uitumie zaidi Kwa wanawake wasomi au wenye Usasa au wanaovutiwa na Dunia ya Sasa.
Vinginevyo utateseka, Wewe uliona wapi mwanaume ambaye hajaoa akiteseka? Uliona wapi mambo hayo?
Ndoa ni muhimu Sana lakini umuhimu huo upo zaidi Kwa wanawake kuliko Wanaume.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Tinaishi humohumo. Hakuna kupewa idhibati (cheti) ya kukumaliza.
💯🤝Akishapat tu cheti na watoto ni lazima aanze chokochoko za kuibomoa ndoa. Ndoa ikishakuwa chali wanashinda kwa mtume wao kawe wakililia mafuta ya urejesho.