Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

Zipo nguvu zinazowasukuma watu kuingia kwenye ndoa kuna nguvu za kudumu na nguvu za mda mfupi. Hizi nguvu ndio uamua ndoa idumu kwa mda gani. Baadhi ya nguvu ni kama
1.Tamaa ya ngono hapa nyege zikiisha na ndoa imeisha
2.Tamaa ya mali kama alifata mali na akapata mali hitaji lake limeisha na ndoa imeisha
3.Kupata watoto .hapa me au mke akishapata watoto hana tena time na mwenza wake anachojali tu ni watoto wake.
4.Upendo hapa kama upo wa kweli ndoa haishi
5.Tamaa ya Harusi, wapo wenye ndoto tu za kufunga ndoa na kufanya sherehe basi mengine baada ya sherehe kwake ni mzigo. Hizi ndio zile ndoa za wiki, mwezi, miezi then chali.
6.Kupata mtu wa kumlea yaani akitimiziwa tu majukumu yake hapa mwenza akifilisika tu na ndoa chali
7.Maslai hapa ni tamaa ya mali, maumbile mfano tako, chuchu, six pack, english figure nk so mtu akipata dosari ya kimwili mfano ajali, kunyonyesha badala ya msumari zinakuwa chapati, ndoa imekubali english figa imekuwa 10 figa, tako SAwa na tumbo, six pack kwisha umri umesonga .... Chali.
So wengi awafahamu hasa nini maana ya ndoa. Umasikini ndio driving factor iwasukumao wanawake wengi kuingia kwenye ndoa na si kwamba wanajua nini maana ya ndoa baada ya ndoa umasikini ukiisha heshima na utii nao uisha, heshima na utii uzaa upendo. Hakuna Mwanaume anaweza mpenda mke asiyeheshimu na kumtii labda afeki.
 
Kwema Wakuu!

Kwa nini mwanaume unalazimishwa kuoa?
Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa.

Angalau ndoa za Kiislam, hizi kidogo kulingana na sheria za kiislam Mwanaume anapata Faida.

Kimsingi unalazimishwa kufunga ndoa na Mwanamke ili uachiwe majukumu Rasmi ya kumtunza Mwanamke utakayemuoa, hii ni Kwa Wakristo. Wanasema kuachiwa Zigo la misumari.
Wanaume wa Mijini wengi wanalijua Jambo hili fika.

Sio kwamba unapoambiwa Uoe wanakutakia Mema,[emoji3][emoji3] hapana Ila wanajaribu kukupa majukumu ili uhenyeke na ule Kwa jasho zaidi Kwa kutunza Mwanamke.
Hilo sio shida, kwani ni sehemu ya MAJUKUMU ya mwanaume.

Shida inaanzia pale ambapo huna kazi ya uhakika hivyo kipato chako kina hang hang siku zingine ukose kabisa.
Kwa Dunia ya sasa ilivyo haribika, wanawake walivyokuwa na tamaa na vitu vizuri.
Ninakushauri USIOE Kama hauna kipato cha uhakika. Ni akheri uishi na Mwanamke kinyumba hivyohivyo hii itakuwa na faida upande wako.

Siku utakayomuoa mke wako hasa ndoa ya Kikristo ndio siku ambayo amechukua Ubingwa na yeye ndiye mshindi.
Zingatia, wanawake wengi siku hizi 90% hawajaolewa wakiwa na bikra zao. Hii ni kumaanisha wapo waliokutangulia aliokuwa anawapenda zaidi yako.
Usijekudanganywa, hakuna mapenzi ya dhati yatakayozidi First Love, wahenga walisema First love ndio True Love.

Wanaume ambao wanaishi na Wanawake bila ya ndoa ndio wanafuraha na kuheshimiwa na wake zao ukilinganisha na Wale Waliooa.
Unajua ni Kwa nini?

Kwa sababu mwanamke ili akuheshimu anatakiwa Ajue kuwa Unaouwezo wa kumuacha muda wowote na kuwa na Mwanamke mwingine. Na wala usiathirike Kwa lolote katika maisha yako.

Wanawake wengi wa kiislam ni submissive Kwa waume wao Kwa sababu wanajua muda wowote wanaweza kupewa Talaka na mume akaoa mke mwingine au kuongeza mke mwingine.

Mwanaume aliyekomaa na aliyefunzwa vizuri akahitimu Mafunzo lazima ampe mwanamke uhakika wa mambo Kama mavazi, chakula na Huduma zingine lakini amnyime mwanamke uhakika wa kuwa Naye Saima, hii itamfanya mwanamke aonyeshe juhudi ili aendelee kuwapo katika Ndoa.

Ni kosa la kiufundi kumpa uhakika na kumfanya mwanamke ajione kwake ndio umefunga Break, yaani huna uwezo wa kupata mtu mwingine. Hapo utakuwa umefanya makosa makubwa Sana.

Taikon huwa nasemaga, kabla hamjafika mbali kwenye Relationship ni lazima umwambie mwanamke kuwa hupendi mambo ya kipuuzi, na kamwe hutovumilia.
Ajue kuwa akianza mambo ya umalaya Kwa Aina zake hautokuwa na muda wa kujadiliana Naye kuhusu huo upuuzi,
Akianza mambo ya ushirikina na Uchawi Ajue kuwa hutokuwa na nafasi ya kumsamehe.
Na akileta ujeuri na Dharau za kipuuzi utafukuza mapema bila ya kikao Wal mjadala.

Mwanamke Ajue kuwa unauwezo wa kumuacha muda wowote akikosea hasa makosa ya kipuuzi.

Mwanamke Ajue kuwa wewe ni mwanaume mwenye msimamo ambaye huna wakukushauri sio Wazazi wako sio viongozi wa dini sio yeyote. Hii itamfanya yeye ndiye awe makini kuwa mshauri wako. Na akiharibu Ajue kuwa hakuna wa kukushauri.

Vijana, kama huna kazi ya uhakika, na flow yako ya kipato bado haieleweki. Nakushauri USIOE.
Ishi na Mwanamke tuu angalau miaka hata kumi na mitano hivi, kama atakuvumilia Sawa akishindwa apite Kushoto.
N hii uitumie zaidi Kwa wanawake wasomi au wenye Usasa au wanaovutiwa na Dunia ya Sasa.

Vinginevyo utateseka,
Wewe uliona wapi mwanaume ambaye hajaoa akiteseka? Uliona wapi mambo hayo?

Ndoa ni muhimu Sana lakini umuhimu huo upo zaidi Kwa wanawake kuliko Wanaume.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Safi kijana na umeeleweka.

Na log off Z
 
Zipo nguvu zinazowasukuma watu kuingia kwenye ndoa kuna nguvu za kudumu na nguvu za mda mfupi. Hizi nguvu ndio uamua ndoa idumu kwa mda gani. Baadhi ya nguvu ni kama
1.Tamaa ya ngono hapa nyege zikiisha na ndoa imeisha
2.Tamaa ya mali kama alifata mali na akapata mali hitaji lake limeisha na ndoa imeisha
3.Kupata watoto .hapa me au mke akishapata watoto hana tena time na mwenza wake anachojali tu ni watoto wake.
4.Upendo hapa kama upo wa kweli ndoa haishi
5.Tamaa ya Harusi, wapo wenye ndoto tu za kufunga ndoa na kufanya sherehe basi mengine baada ya sherehe kwake ni mzigo. Hizi ndio zile ndoa za wiki, mwezi, miezi then chali.
6.Kupata mtu wa kumlea yaani akitimiziwa tu majukumu yake hapa mwenza akifilisika tu na ndoa chali
7.Maslai hapa ni tamaa ya mali, maumbile mfano tako, chuchu, six pack, english figure nk so mtu akipata dosari ya kimwili mfano ajali, kunyonyesha badala ya msumari zinakuwa chapati, ndoa imekubali english figa imekuwa 10 figa, tako SAwa na tumbo, six pack kwisha umri umesonga .... Chali.
So wengi awafahamu hasa nini maana ya ndoa. Umasikini ndio driving factor iwasukumao wanawake wengi kuingia kwenye ndoa na si kwamba wanajua nini maana ya ndoa baada ya ndoa umasikini ukiisha heshima na utii nao uisha, heshima na utii uzaa upendo. Hakuna Mwanaume anaweza mpenda mke asiyeheshimu na kumtii labda afeki.

Noma sana
 
Inawezekana wanawake ndo wapumbavu au vijana ndo wamekosa uwezo wa kifedha na mbinu za kuishi na mke. Sababu yoyote ile matokeo si sawa kwa watoto wa malezi ya upande mmoja. Vijana watakaozaa watoto wa kiume bila kuwa sehemu ya malezi na bila kuwa makini na uchaguzi wa mama bora watakuwa na watoto wa kiume wenye ukike na wa kike wenye udangaji. Hili tatizo litaendelea kuwa kubwa sababu more single mothers wa hovyo watalea watoto wa hovyo, watoto wa hovyo watakua wakubwa nao wataendeleza akili za hovyo hivyo hivyo nakuendelea.
 
Inawezekana wanawake ndo wapumbavu au vijana ndo wamekosa uwezo wa kifedha na mbinu za kuishi na mke. Sababu yoyote ile matokeo si sawa kwa watoto wa malezi ya upande mmoja. Vijana watakaozaa watoto wa kiume bila kuwa sehemu ya malezi na bila kuwa makini na uchaguzi wa mama bora watakuwa na watoto wa kiume wenye ukike na wa kike wenye udangaji.

Ni kweli kabisa.

Lakini ni Bora hivyo kuliko Kupiga magoti mbele ya mwanamke
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwema Wakuu!

Kwa nini mwanaume unalazimishwa kuoa?
Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa.
Why keep a cow if you can buy milk?
 
Ni kweli kabisa.

Lakini ni Bora hivyo kuliko Kupiga magoti mbele ya mwanamke
Hakuna wanawake kabisa ambao hata kama umerudi na elfu mbili nyumbani atakupokea na kukuandalia maji ya kuoga huku akikuombea kwa MUNGU wake kesho upate kikubwa? Wameisha? Kama hakuna basi sisi wa miaka ya nyuma kidogo tuna bahati.
 
Back
Top Bottom