Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

Za kuambiwa....changanya na zako........kuishi na mwanamke hakuna fomulae maalum
 
Shoga mwenye wivu kwa wanawake anayetaka kuwanyoosha wanawake ili wanaume wawasuse wakutake wewe haya huna shoga wewe

Lo.wazazi wako jamani nawahurumia

Eee Mungu hurumia wazazi wa hili shoga leta mada
 
Shoga mwenye wivu kwa wanawake anayetaka kuwanyoosha wanawake ili wanaume wawasuse wakutake wewe haya huna shoga wewe

Lo.wazazi wako jamani nawahurumia

Eee Mungu hurumia wazazi wa hili shoga leta mada

Pole Sana Mama!

Ukiwa Mpumbavu lazima tu-deal na wewe Kwa namna hiyohiyo.

Kutaja kwako ushoga ukidhani ni silaha ya Kupunguza Kasi yangu, basi tambua umekwama.

Vijana wataendelea kuambiwa ukweli na kuhamasishwa wajiamini kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale.

Wewe huna makosa ya kuwa shoga Kwa sababu ulirithishwa tuu!
 
Watetezi wa ujinga unaoitwa ndoa njoon mjitekenye mcheke
 
Kweli tupu
 
Ata wala sijasoma ila naunga mkono hoja.
 
Andiko lako lipo biased sana! ila ni maoni tu..
 
nitafute nikumwagilizie moyo wako mazee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…