Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

Taikon huwa nasemaga, kabla hamjafika mbali kwenye Relationship ni lazima umwambie mwanamke kuwa hupendi mambo ya kipuuzi, na kamwe hutovumilia. Ajue kuwa akianza mambo ya umalaya Kwa Aina zake hautokuwa na muda wa kujadiliana Naye kuhusu huo upuuzi. Akianza mambo ya ushirikina na Uchawi Ajue kuwa hutokuwa na nafasi ya kumsamehe. Na akileta ujeuri na Dharau za kipuuzi utafukuza mapema bila ya kikao Wal mjadala [emoji375][emoji375][emoji375]
 

Umesema kweli Kabisa
 
Kuna mdogo wangu mmoja alitamani kuoa nikamsii sana ,,maana najua hana kazi wala kipato cha maana nikamwambia atafute kazi kwanza akae sawa kiakili na kiafya ndipo aoe ,,akaona Mimi mshauri mbaya ,,kaoa kimya kimya asieee moto anauona ,,.Juzi kati mke wake akutwa kwenye geto la mwanaume mwingine tena Ni jilani na wanapo kaa yaani pua na mdomo
Jamaa anashinda analia kama mtoto..
 

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Dogo akiulizwa anasemaje?
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Dogo akiulizwa anasemaje?
Kwani hata anaelewa kimemkuta nini yaani kawa kama amevurugwa aelewi juu ya mke wake ,,ndugu wameingilia kati wamewakalisha kikao ila binti inaonekana pasua kichwa ,,Jamaa anatoka kwenye mihangaiko huko anaanza kuwasha moto atenge maji ya kuoga na demu wake yupo tu,,,hua nacheka tu sina chakufanya maana kama ushauri nilisha toa
 
Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)


mkuu sijui kama unakumbuka mnyongoroto unaouzalisha hapa.
 
Umasikini ndio unaowasukuma wanawake wengi kuingia kwenye ndoa na shida zao zikiisha tu heshima na utii navyo vinaisha.
Nakubaliana na wewe! Ninachokijua
Wengi wanadai wanawake asilimia kubwa wanawaheshimu wanaume watoto wakiwa wadogo kosa wakishakua wakabahatika na mishahara mizuri baasi mke heshima kwa mume inaanza kushuka!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Madini matupu umeongea mkuu[emoji4][emoji119]
 
Pole yake! Maisha ya ndoa ni mashenji!! (Ya ajabu)Mnapewa cheti kwanza kisha ndo mnaenda kwenye mtihani! Usije ukalewa ukachukua single mother utajuta!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sasa sisi wazee tuliogoma kuwowa wakati wa ujana tukajenga familia na sasa tunataka kuwowa vibinti tunafanyaje?
 
Usipozaa wewe watazaa wenzio
 
Na Mimi navyoona kwa maisha ya Sasa na changamoto za kipato vijana wengi awataoa ni mwendo wa kula asali ya taifa na
 
Hapa uliongea ukweli mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…