Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Kwahio

unamtaka mchochezi tu mengine utajiongeza mwenyewe. Hii imekaa njema sana na umekuwa realistic haswaa. Kiufupi huyo mwenye vyote hutainjoy sababu mtakuwa kwenye mgaoπŸ˜‚
Kwakweli hapo lazima mgao uhusike πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚,, maana kila mtu atakua anamng’ang’ania.. Yanini pressure za ujanani wakati mikono na nguvu ninazo za kutafuta helaπŸ˜ƒ
 
Hakuna kitu kama hicho we hayaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚.. Unadhani hata yeye mwenyewe angekua hivyo wa maandishi yake jamaa angemtindua miaka yote ile na kumwachaπŸ˜ƒπŸ˜‚.. Kwasababu hakuna mwanaume asiyependa malaika wa namna hiyo
Asa we jidanganye ujuteπŸ˜ƒ
 
πŸ˜‚ nadhani hujamuelewa au umemuelewa tofauti.
Sikatai hakuna alie hivyo 100% ndio maana nikasema atleast 75%.
Kama hawapo nioe mtu aniheshimu yanini? Si kujitafutia matatizo?
Ieleweke mimi sio kataa ndoa na wala sio mpinga pesa kwenye mapenzi.
 
πŸ˜‚ nadhani hujamuelewa au umemuelewa tofauti.
Sikatai hakuna alie hivyo 100% ndio maana nikasema atleast 75%.
Kama hawapo nioe mtu aniheshimu yanini? Si kujitafutia matatizo?
Ieleweke mimi sio kataa ndoa na wala sio mpinga pesa kwenye mapenzi.
Hivyo vyote mbwembweπŸ˜‚πŸ˜‚,, ingekua watu wanafata heshima tu na hivyo vingine sidhani kama kuna ndoa zingevunjikaga na kusingekua na kuchitianaπŸ˜‚πŸ˜‚..
Hakuna mwanamke asiyependa hela wala mjegeje, na hivyo ndo vigezo vikuu almost kwa kila mtuπŸ˜ƒπŸ˜‚

We endelea kupumbazika na ngonjera na mashairi na mapambio ya malaika wa humu… Am outπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Aiseee!! Angalau mmetoa kipengele cha tall dark and handsome. Na imani by 2040 kipengele cha kuwa na hela nacho kitapotea na kubakia cha kufika kibo tuu
 
Relationships are about sex, goals achia halland. Ndalama uongeza utelezi wa mbususu
 
Eti legend,yaani unakosa kile kiheshima Cha uanamme...jitunze Mzee mwenzangu ujiepushe na ulinzi wa ghafla
Upo honest sana legend, yaani unaongea lililo moyoni kabisa. Ningekuwa mdogo kidogo ningekuchumbia(kama jimbo lingekuwa wazi)🀣🀣🀣🀣
 
Bado nasema umeelewa tofauti, unavyovizungumzia ni tofauti kabisa na hoja yangu.

Sijakataa kuhusu ishu ya kupenda hela na jegeje. Unazijua sifa za mwanamke bora wale tunaowaita wife material?
Kama ilivyo kwenu nyinyi mna sifa zenu za mwanaume may be awe na hela n.k hivyo hivyo kwa upande wetu kuna sifa za mwanamke wa kuoa, hatuoi tu kwa sababu ni mwanamke, kuna sifa na vigezo.
Penda pesa, penda jegeje ila heshima iwepo, huniheshimu na ninajua nikuoe? Unaweza mshauri kaka yako aoe mwanamke asiemheshimu?
 
Mi sijasema nataka kibabu Cha kunipa Hela mkuu umenisoma vibaya,nimesema ukipata wa kukupa vyote?kwani wenye Hela ni vibabu tu?hakuna vijana wenye Hela?
Kwa mtu wa age yako ( japo si fahamu) ni vijana wachache mno wanaoweza kukupa vyote, kwani vijana wengi wanajitafuta na kutokana na sababu hiyo options inayobakia ni vibabu au mme wa mtu.
 
Nahisi kukuelewa, aisee pamoja na uzee huu bado tunajifunza kwa vibinti kama nyie🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…