Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Kuna kadem nilikatongoza kimasihara kakanikataa nikabid nijifanye nimekazimikia sana mpaka nikawa nakapa pesa, nakajal vibaya ndipo kakanikubal, kalivyo nikubal nikaanza kukalingia nikawa stak Shobo nako ila mpaka sasa kamenambia kako tayari kunipa hata gem ilimradi kawe na mimi,, lkn kumbukeni sikukapenda nilikuwa nakaigizia tu sasa sijui nifanyej ila ni kazuri vbaya mno...ila sina hisia nae kansa daah!
 
Nakutafuta babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…