Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Ila mkuu kuna uzi wako fulani hivi wa kimbeya, ulisema kigezo cha kwanza unachozingatia kwa mwanaume wa kuwa naye, ni lazima na yeye awe mbeya( yani mfanane tabia) ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… au nakufananisha mkuu???
Huwezi kuwa serious Mkuu. Yani mwanaume wa kuwa mume kigezo cha kwanza kiwe umbea? Lols

Hiyo ni nyongeza, na inapendeza maana sitaboreka tutaongea mengi na kufurahi.
 
Acha mkuu, wakifika 30 wanapagawa.
 
Naomba nisinukuliwe kwenye hili!๐Ÿ˜ถโ€๐ŸŒซ๏ธ

Nilichofanya niku-summarise tu maelezo ya mwenyekiti kwa faida ya wengine!๐Ÿ˜ถโ€๐ŸŒซ๐Ÿค“๐Ÿ˜†
Mjumbe mbona umekuwa muoga?ongea mjumbe,maana wajumbe mna nguvu sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Huwezi kuwa serious Mkuu. Yani mwanaume wa kuwa mume kigezo cha kwanza kiwe umbea? Lols

Hiyo ni nyongeza, na inapendeza maana sitaboreka tutaongea mengi na kufurahi.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐—ฎ๐—ฎ๐—ต ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ, ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚???

๐—”๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐˜†๐—ฎ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ผ๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐˜๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—บ๐—ถ, ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ต๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ผ ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—ป๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ????
 
Sikia, umbea ninaoongelea mimi ni kujua habari za mjini. Sio umbea wa uswahilini kufuatilia maisha ya watu na kusutana hapana, mimi tu sipo hivyo na siku majirani zangu wakijua mimi ndio cha umbea wa JF watazimia!

Sasa mimi namshukuru Mungu wa kwangu anazo habari za mjini za uhakika yani, ni burudani acha tu.
Ikifikaga hiyo moment ya kupewa hizo habari huwa najihisi niko mawinguni ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„ ๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐—ฎ๐—ฎ๐—ต, ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ท๐—ถ๐—ป๐—ถ.
 
Nina mambo mengi sijapata nafasi, usifanye mchezo kuandika vile sio rahisi.
 
Kuna namna gossip na mshkaji โ€Šwako zinanoga.
 
Nina mambo mengi sijapata nafasi, usifanye mchezo kuandika vile sio rahisi.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ๐˜€๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„
 
Kuipata hiyo complete package sasa ndio mtihani. Me mwenye mtonyo hana mda na K, anawaza kuzitafuta mchana na usiku.

Duniani hupewi vyote.
 
Ngoja nikwambie, huwa naletewa habari. Inabidi nifanye research ya wahusika wote, niwajue kiundani na facts za habari zioane.

Kuna habari nyingi sana huwa siziandiki kwa kuzingatia vigezo tajwa, nikifanya research ikashindwa kunivutia au nikaona italeta mkanganyiko naachana nayo.

Mwisho kwenye uandishi, huwa natumia sio chini ya lisaa limoja na nusu hadi mawili na nusu kuandika inategemea na habari. Kupata mtiririko wa kuvutia sio rahisi. Mkisoma muwe na shukrani, ile ni kazi.
 
๐—ฆ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ป ๐—ฎ๐—ฑ๐˜ƒ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚,, ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿฅฐ,, ๐—ธ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—น๐—ผ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ