Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Acha tu ibaki kuwa hivyo, ujanja wake wote chali
 
Nikiwa mkubwa nataka nipate mwanamke wa kufanana na wewe Nifah. Kama uyasemayo ndio unayaishi nje ya jf upo vizuri hongera.
 
We jichanganye😃😂, wamebaki wa kwenye maandishi kama hivi ila kwa ground mambo ni tofauti
😂 wapo ila simaanishi wasiopenda pesa, kwangu mwanamke bora ni muhimu awe na angalau 75% ya sifa alizozitaja Nifah

Hii dunia ni kubwa sana kwa bahati mbaya hakuna anaekuchagulia wa kuwa nae kwenye maisha, mwanamke kama hanieshimu wanini sasa? Na heshima inajengwa na upendo. Siwazungumzii slay queens nawazungumzia wanawake bora wenye sifa ya kuwa wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…