Mwanamke ukimtukuza na kumnyenyekea sana uwe na uhakika atakunyea kichwani! Inabidi tukae nao kijasusi!

(Naye atakutawala...,enyi wanawake watiini waume zenu...)Ukienda kinyume cha hiyo mistari lazima ndoa ikutafune...
 
Hivi ni kwamba hapa JF kuna kundi limeandaliwa kupinga ndoa au kuna ajenda gani mbna kila siku nyuzi za kukandia ndoa zinazidi au ndio hali halisi mtaani?
 
Mwanaume hakuumbwa amnyenyekee mwanamke ila mwanamke amnyenyekee mwanaume wake
Ibilisi anachofanya nikupindua kila mpango wa Mungu,watu waishi kwenye fhambi kila sehemu.

Mwanaume utahukumiwa kwa kumuacha mkeo aishi ushenzi.
Avae mavazi yasiyo ya heshima,awe mlevi na ww ungalipo.
Na jtajibia siku hio
 
Hivi ni kwamba hapa JF kuna kundi limeandaliwa kupinga ndoa au kuna ajenda gani mbna kila siku nyuzi za kukandia ndoa zinazidi au ndio hali halisi mtaani?
Tatizo sio ndoa! Tatizo ni wanawake na hizi taasisi za uaharakati! Wanawake wanalishwa na kuhaminishwa mambo ambayo kimsingi yanawadhuru wenyewe na watoto kuishia mitaani. Wanaume waliowengi hatuna shida! Wanaume tunaupendo wa dhati tena ule wa "agape". Sasa hii mianamike mishetani inaenda na kuokoteza mitabia kwenye mitandao na hao wa haki sawa alafu wanazileta ndani! Wee mwanamke huwe na uahakika mmeo atakuua, atakufukuza, utetelekezwa wewe na mwanao! Kiasili mwanamke unatakiwa uwe mnyenyekevu na kuiombea familia na mme wako na si vinginevyo! Utauawa bure! Shauri yako!
 
Mapenzi hayana kanuni wala mwalimu
 
Kataa ndoa, ndoa ni utapeli
 
Nasoma comments tu maana makala yako haina hata aya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…