Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

Madini😃😃dah kitambo sana
 
Mkuu naona unatiririka Sana Na carbon compound si useme tu huu Uzi ni ushuzi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa yangu alifumaniwa na mkewe bonge la ugomvi toka siku hiyo akiomba mzigo kwa mkewe anachajiwa pesa mke anadai mumewe alipoenda kuchepukia alikuwa anahonga hakula bure bure sasa mke nae anamtoza kala sana mke kwa nguvu ili asimlipe ila kila akila mke hatoi ushirikiano anamsusia kifo cha mende,hakuna mbuzi kagoma au kuikalia kwa juu wala viuno, kula ukimaliza funika wewe si mjanja mwisho wa siku mshkaji kalegeza anatoa pesa tena ana'bargain kabisa, ila ndoa zina mambo siku hizi [emoji23]
 
Kwahiyo mwamba now analipia papuchi ya mke wake hahahah.hii kali aisee
 
Bora tu bandari zichukuliwe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…