Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

Huyo jamaa atumie akili hali pekeake hapo lazima wanakula wengi laki yote hiyo kunyolea papuchu wakati Wembe miambili aseeeh
 
Huyo mke wake anafanya shughuli gani halali?
Huko Upanga ananyolewa na nani?
Kama hii habari ni ya ukweli basi mwanaume ni mwendawazimu wa kiwango kikubwa sana.
Mke wangu hawezi kuniletea habari za kiwehu kiasi hicho
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea.

Basi nikamwelekeza sehemu jirani na nyumbani, pametulia sana. Tukawa tunaangalia Yanga wakufanya yao, ndipo akaanza kupasuka.

Mke wake ana mavuzi marefu lakini hataki kuyanyoa hadi apewe laki aende kwenye saluni gani huko Upanga ya Wahindi ndio huwa wananyolewa.

Nikapigwa na butwaa, yaani uvuzi hadi saluni? Tena kunyolewa kwa laki?

Akaniambia mara kwa mara mke wake huwa anajigharamikia kwa huduma hiyo, ila sasa kahamishwa kitengo kazini hamna hela ya kuchezea.

Jamaa yangu ni mwalimu wa shule ya msingi serikalini, mshahara mdogo.

Basi sasa jamaa unyumba hapati kwani anakinyaa sana kwenye vuzi. Na mķe hataki anyolewe na mumewe
😅😅🥰 Huyo rafiki anasingiziwa tu kwenye mkasa siyo wewe mwenyewe umechungulia brother ?¿ in Mwaisa voice
 
Back
Top Bottom