Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

Anayemnyoa kwa wahindi ni mwanamke au mwanaume? Pia ulimshauri vipi?
 
Mwambie amnyandue hivyo hivyo, mkewe akiona zinamkera kwa kuzama huko pamoja na mjulux atazichomoa mwenyewe.
 
Huyo jamaa yako na wewe wote ni mapundamilia. Anakusimuliaje mambo kama hayo ya ndani kabisa? Na wewe ulivyokuwa taahira umekuja kuandika humu. Matoto ya siku hizi mapumbavu sana. Ndo maana ndoa hazidumu
Matoto ya treni 😃😃😃
 
Nlishaleta bandiko humu nadhani mods waliliondoa nikiuliza hili.
Manzi yangu alinambia kabisa hizo saluni za kunyoa vuzi zipo,na nyingine wahudumu ni wanaume,nkamind kichizi ila akasema huwaga ni mashoga...what the fuvk yaani huwezi amini hamu ya nyapu ilikata mwezi mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…